Makonda aingilia kati bifu la Wema na Mobeto kuhusu jina, apongezwa

KULIKUWA NA KILA SABABU...NA HATA MPAKA SASA KUNA KILA SABABU ZA KUMUONDOA HUYU MTU KWENYE HIYO NAFASI...LAKINI HAONDOLEWI...

WATAALAM WANASEMA HUENDA ANA SIRI KUBWA AMEIKALIA YA MKUU...NDIYO INAYOMSTIRI...YA ALLAH TUONDOLEE UONGOZI HUU DHAALIM...
 
Sasa tatizo lipo wapi, kwani tz sweetheart ni heshima km vile heshima ya tuzo ya Amani, au Phd, au Grammy, ni jina tuu halina mamlaka yoyote kwenye uongozi au jamii, huwez kusema Wema ametunukiwa cheo cha Tanzania Sweetheart so ana mamlaka haya na yale, bali ni jina tu, wakware wameamua kumwita keki ya taifa mtu mwenye nyota zake, manake ukitoka na wema tu umaskini bye byee, so its cool
 
Huyo jamaa kaleta mambo ya Umama
 
Ila mkuu wa mkoa wetu kuna mambo mengine anayoyatolea kauli huwa yanatushangaza sana wengine?! 😡😡😡😡
Labda wanaume wa asili wamepunguwa Dar...🙁🙁🙁🙁
 
Ndio maana tunazidi kuibiwa. Yan mambo hayaendi watu wanaongelea Tz sweetheart. Kwani Tanzania tulikoseaga wapi
 
Taifa linapokuwa na mbumbumbu wengi hasa kweny sekta ya uongozi...ndo mambo kama haya hutokea
RC unapoteza muda kuongelea who's Tz sweetheart!!!?? Kwa kodi gani inayoingizwa hazina kwa hilo jina??
Ingekuwa hao wanagombania jina la biashara kam (company) bas tungesema kwel ni uamuz wa busara coz hiyo kampuni ingelipa kodi, ingetoa ajira, na ingechangia kukuza GDP
 
hilo beef lao lingeleta maafa gani mpaka huyo kijana wenu kuingilia suala hilo..? mambo mengine yanatokana na kukosa kazi za kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…