Makonda aingilia kati bifu la Wema na Mobeto kuhusu jina, apongezwa

Makonda aingilia kati bifu la Wema na Mobeto kuhusu jina, apongezwa

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Ni wakati pia wakuu wengine wa mikoa kuiga uchapakazi wa kijana huyu wa DSM kwani akiwa kama mkuu wa kamati ya usalama wa mkoa ameingilia kati beef jipya kuhusu jina la Tanzania sweetheart kati ya wema sepetu na Hamisa mobeto
Ikumbukwe hao wadada wapo kwenye MKOA WAKE na issue yao inahusisha mateam ya mtandaoni hivyo uamuzi wa busara aliochukua kijana huyu kutolea ufafanuzi umeokoa maafa yasitokeeee
***Haijalishi kama mahakama ilimkuta huyo bibie wema na tuhuma za kutumia madawa ya kulevya ila kwa mujibu wa bwana Makonda huyo ndiye Tanzania sweetheart...Waaaaoh what a charismatic leader he is..yupo vizuri mnooo aiseee.

Nasikia anasema watu wake wa Dar nao wanaona wivu wa mikoani wanavyopiga picha na jiwe. Itabidi alonge nao waache wivu
 
Ni wakati pia wakuu wengine wa mikoa kuiga uchapakazi wa kijana huyu wa DSM kwani akiwa kama mkuu wa kamati ya usalama wa mkoa ameingilia kati beef jipya kuhusu jina la Tanzania sweetheart kati ya wema sepetu na Hamisa mobeto
Ikumbukwe hao wadada wapo kwenye MKOA WAKE na issue yao inahusisha mateam ya mtandaoni hivyo uamuzi wa busara aliochukua kijana huyu kutolea ufafanuzi umeokoa maafa yasitokeeee
***Haijalishi kama mahakama ilimkuta huyo bibie wema na tuhuma za kutumia madawa ya kulevya ila kwa mujibu wa bwana Makonda huyo ndiye Tanzania sweetheart...Waaaaoh what a charismatic leader he is..yupo vizuri mnooo aiseee.

Tz sweetbangi
 
Hahahaaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji87] [emoji87] Tanzania sweetheart mpya kimbunga hajawai mwacha MTU sarama hebu Huyo kibibi atupishage Huyo
 
Hahahaaaaa ingekua kidoti sawa tungejua jokate kazaliwa nacho na huyu mbatizwaji anataka kupopolewa kisha jina shaur zake acha wamfanyie ketchnparty
 
Upuudhi mtupu kama anataka si amuite dear es salaam sweetheart, anavyolazimishwa aitwe Tanzania sweetheart ina maana amepata kibali kutoka Kwa wakuu wote wa mikoa Tanzania.
Manake unapoongelea Tanzania ni kujumuisha mikoa yote.
Yaani hii nchi ina ombwe la uongozi, Hizi siasa hizi mtu kafoji jina anabebwa Tu Kwa sababu ya tigo yake
 
Back
Top Bottom