PreGE2025 Makonda akabidhi zawadi kwa maimamu na walimu wa madrasa kutambua mchango wao katika kuleta amani kwenye jamii

PreGE2025 Makonda akabidhi zawadi kwa maimamu na walimu wa madrasa kutambua mchango wao katika kuleta amani kwenye jamii

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Sasa hivi kila jicho ni kwa waislamu, I wanda ni kwanini?🤔🤔 Ni ama kuna wajinga wengi ambao wanaidia kupitisha ajenda zao kirahisi au ni watu muhimu sana ambao bila kukuunga mkono umekisha!

====

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amekabidhi Zawadi maalum kwa Maimam wa Misikiti na Waalimu wa Madrasa (Markadhi)

Umaalumu huu umegawanyika katika sehemu kuu 2 muhimu.

1) Kwanza ni sehemu ya kutambua mchango wenu mkubwa (Maimam) katika kuhakikisha Waumini wanafanya ibada katika vipindi vitano (5) kama yalivyomaamrisho ya Mtume Mohamad S.A.W na ngozo muhimu ya Uisilam.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

2) Pili ni kuenzi na kuheshimu kazi kubwa wanayoifanya Waalimu wetu Madrasa katika kuifunza, Kuihifadhisha na Kuifasiri QURAN TUKUFU kwa watoto wetu na hivyo kuifanya jamii sehemu tulivu yenye Amani kwa kutafuta na kuishi.

Jukumu letu Serikali ni kuendelea kutambua na kuheshimu makundi yote yanayoifanya Arusha yetu kuwa sehemu Nzuri ya kuishi, kutafuta, kutalii na kupumzika.

 
1..Sunday school wao wanapewa lini zawadi zao?
2. Mashekh na Walimu wa singa singa wanapewa lini?
3. Wahindu je wanapewa lini?
4. Wapagani?
5. Wabudha?
 
Back
Top Bottom