Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Ngoma ikilia sana hupasuka. Walijisahau wakajiona wanayo haki ya msingi ya kuwa watawala wa TZ, kina Kigwangallah na wengine wa aina hiyo.Hapa tupo pamoja Chief, 60% ya wakurugenzi wa halmashauri kipindi cha Magu walikuwa wasukuma, walianzisha hadi group lao la Whatsapp, nilikuwa pia kwa hilo group, humo ndani ilikuwa kisukuma tu
Tufanye pilot test kwanza. Hebu atokee mwanachama mmoja tu amsema Mbowe halafu aone shughuli yake, maana kule kijani tumeona mtu kamsema Rais tu hatujui yuko wapi. Katiba zenu za vyama tu ni za kibabe na kifalme. Katiba mpya wakati ya zamani tu hatuijui wala haitekelezekiHapo ndipo umuhimu wa Katiba mpya unapokuja. Hatuwezi kuwa na nchi ya kuoneana, kuogopana na kuabudu wenye vyeo ili tuishi kwa uhuru na raha mustarehe wakati wote.
Kwani RPC wa sasa wa DAR walimfanya nini? alishapotezwa kabisa leo huyoHakuna hiyo kitu, jamaa ashazikwa politically
Joh!nimeuliza na hata ukujibu.Wenye mali zao wanazitaka tena sasa,
mbona analalamika na kutafuta huruma ya umma?!
Sijaelewa post yakoKwani RPC wa sasa wa DAR walimfanya nini? alishapotezwa kabisa leo huyo
Tumuunge mkono Mama sasa anapojitahidi kuliunganisha taifa, na kuhakikisha kila mtu anafurahia nchi yake bila hofu ya kupotezwaNgoma ikilia sana hupasuka. Walijisahau wakajiona wanayo haki ya msingi ya kuwa watawala wa TZ, kina Kigwangallah na wengine wa aina hiyo.
Kwani wewe una nyumba ya thamani kiasi gani, na kwa kimshahara chako ulijikusanya miaka mingapi?Makonda alitumia Madaraka yake vibaya sana ya ukuu wa mkoa, Anapaswa kufunguliwa mashtaka ya uhujumu Uchumi na utakatishaji fedha
Ni vyema ikafanyika tathmini ya Mali zake Kimehasabu na kodi alizolipa TRA pamoja na Chanzo chake halisi cha mshahara vilinganishwe
Makonda na vijana baadhi walijigeuza wafalme wakati wa utawala wa giza, Walipora chochote na kutisha wafanyabiashara
Mishahara ya wakuu wa Mikoa inajulikana kisheria na sio siri kabisa, Hakuna mkuu wa mkoa anayelipwa pesa kufikia Milioni kumi yaani kwa mwaka ni Milioni mia moja ishirini, Na kwa miaka mitano ni Milioni mia sita
Makonda hajafanya ukuu wa mkoa kwa miaka mitano, Na hata angefanya hiyo kazi hakuna mkuu wa mkoa analipwa mshahara wa Milioni kumi
Kimehasabu Makonda hana uwezo wa Kumiliki Mali alizokuwa nazo kuanzia magari ya kupora ya kifahari na nyumba za kupora za wafanyabiashara
Karma ni mbaya sana, Makonda alilalamikiwa hapa JF kuwa anajenga hekalu huko Mwanza kwao, Anamiliki magari ya watu kwa kutapeli na vitisho vikubwa
Ghorofa linaloonekana kwa sasa analosema la kwake, Kiuhalisia hana uwezo huo hata kidogo wa Kumiliki kwa kazi yake ya ukuu wa Mikoa chini ya miaka minne
Anajitapa eti mdogo wake baada ya kumaliza kusimamia ghorofa lake Mwanza akaanza kusimamia ghorofa alilopora kwa mfanyabiashara GSM lenye thamani ya zaidi ya bilioni moja
Ni muda muafaka kwa Makonda kurudisha Mali kwa wahusika,
Kazi iendelee
Pia soma: Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake
Tufanye pilot test kwanza. Hebu atokee mwanachama mmoja tu amsema Mbowe halafu aone shughuli yake, maana kule kijani tumeona mtu kamsema Rais tu hatujui yuko wapi. Katiba zenu za vyama tu ni za kibabe na kifalme. Katiba mpya wakati ya zamani tu hatuijui wala haitekelezeki
Tumia akili wewe kama huna pesa wewe kaushaMakonda alitumia Madaraka yake vibaya sana ya ukuu wa mkoa, Anapaswa kufunguliwa mashtaka ya uhujumu Uchumi na utakatishaji fedha
Ni vyema ikafanyika tathmini ya Mali zake Kimehasabu na kodi alizolipa TRA pamoja na Chanzo chake halisi cha mshahara vilinganishwe
Makonda na vijana baadhi walijigeuza wafalme wakati wa utawala wa giza, Walipora chochote na kutisha wafanyabiashara
Mishahara ya wakuu wa Mikoa inajulikana kisheria na sio siri kabisa, Hakuna mkuu wa mkoa anayelipwa pesa kufikia Milioni kumi yaani kwa mwaka ni Milioni mia moja ishirini, Na kwa miaka mitano ni Milioni mia sita
Makonda hajafanya ukuu wa mkoa kwa miaka mitano, Na hata angefanya hiyo kazi hakuna mkuu wa mkoa analipwa mshahara wa Milioni kumi
Kimehasabu Makonda hana uwezo wa Kumiliki Mali alizokuwa nazo kuanzia magari ya kupora ya kifahari na nyumba za kupora za wafanyabiashara
Karma ni mbaya sana, Makonda alilalamikiwa hapa JF kuwa anajenga hekalu huko Mwanza kwao, Anamiliki magari ya watu kwa kutapeli na vitisho vikubwa
Ghorofa linaloonekana kwa sasa analosema la kwake, Kiuhalisia hana uwezo huo hata kidogo wa Kumiliki kwa kazi yake ya ukuu wa Mikoa chini ya miaka minne
Anajitapa eti mdogo wake baada ya kumaliza kusimamia ghorofa lake Mwanza akaanza kusimamia ghorofa alilopora kwa mfanyabiashara GSM lenye thamani ya zaidi ya bilioni moja
Ni muda muafaka kwa Makonda kurudisha Mali kwa wahusika,
Kazi iendelee
Pia soma: Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake
RPC wa Dar wakati wa JPM alitolewa sehemu zote hata alipogembea ubunge alishinda kwa kura nyingi za maoni lakini kwa mzee akakatwa jina ikawa kama ndio mwisho wa safari yake ya kisiasa lakini kuja Mama akamtoa shimoni sasa RPC wa DarSijaelewa post yako
Nakubaliana na wewe sio kuwa na katiba mpya tu ila katiba inayoendana na hali ya sasa na miaka ijayo kumlinda kila mtu sio kulinda chama kwa bahati mbaya sana vyama vinataka katiba ambayo inaweza kuwa fursa wao kuja kutawala utakuta kikubwa wanaongelea tume huru, teuzi sababu ndio zenye maslahi yao, ila nakubaliana na wewe katiba iwe inamlinda na kuheshimu kila mtu bila kujali ni nani na kuwe na njia za kupata haki ikiwa mtu anatafuta haki, na hizi haki zipatikane nje ya vyana vya siasa. Hili ni gumu sana sababu tumetawaliwa na uvyama zaidi sio utaifa.Polepole alisema CCM wana wanachama milioni 12, Chadema wanasema wana wanachema milioni 8. Tufanye hizo takwimu zao wote ni za kweli, jumla ni milioni 20.
Sasa wewe achana na hao milioni jikite kwenye raia milioni 40 au 35 wasio na vyama.
Zungumzia Katiba mpya kwa upande huo uache kujificha kuikataa katiba mpya kwa kivuli cha sababu za vyama.
Wanamkwaza kwa kusema anapendelea zaidi Unguja na Pemba, wanasahau namna tulivyotumia nguvu kuitetea Chato alipokuwa ikulu.Tumuunge mkono Mama sasa anapojitahidi kuliunganisha taifa, na kuhakikisha kila mtu anafurahia nchi yake bila hofu ya kupotezwa
Huyu mpya wa sasa ana ukaribu na Sabaya, sivyo? UVCCM akili huwa mnaweka wapi?Hawezi kudumu milele, kama CCM ikiendelea kuwepo hata huyo mpya anaweza kuwa na ukaribu na Makonda.
Sabaya dhambi zake zipo wazi mno, hizi za Makonda nyingi ni tuhuma, huwa hawazianiki wazi.Huyu mpya wa sasa ana ukaribu na Sabaya, sivyo? UVCCM akili huwa mnaweka wapi?
Dhambi za makonda ambazo ziliwekwa bayana na Marekani kupitia Secretary Pompeo, zenyewe zimejificha huko CCM? Puumbavo zako kijana.Sabaya dhambi zake zipo wazi mno, hizi za Makonda nyingi ni tuhuma, huwa hawazianiki wazi.
Sabaya mpaka ushahidi wa CCTV upo, upo ushahidi wa wale jamaa waliopigwa misumari miguuni kama Yesu alivyofanyiwa.
Makonda ni chuki zaidi kulinganisha na Sabaya. Mimi ni mtu mzima nimeshavuka umri wa kuwa UVCCM.
Marekani sio malaika mkuu, wanaweza kuwa walipenyezwa umbeya na wanasiasa wa humu humu nchini kina Tundu Lissu. Pumbavu wewe na uko wako wote.Dhambi za makonda ambazo ziliwekwa bayana na Marekani kupitia Secretary Pompeo, zenyewe zimejificha huko CCM? Puumbavo zako kijana.
Bwa.na wako bashite aliua Ben Saanane, shenzi wewe.Marekani sio malaika mkuu, wanaweza kuwa walipenyezwa umbeya na wanasiasa wa humu humu nchini kina Tundu Lissu. Pumbavu wewe na uko wako wote.
Huna ushahidi pimbi wewe.Bwa.na wako bashite aliua Ben Saanane, shenzi wewe.
We ha.wara wa bashite kwanini una uchungu naye hivi? mwambie bw.ana ako siku akifika mahakamani tu, asahau kuchomoka milele.Huna ushahidi pimbi wewe.
Matusi ni kielelezo cha kuishiwa hoja.We ha.wara wa bashite kwanini una uchungu naye hivi? mwambie bw.ana ako siku akifika mahakamani tu, asahau kuchomoka milele.