Makonda alivyonusurika kumwagiwa maji na watangazaji wa Clouds

Kamwagiwa maji sababu jamaa(Makonda) ni wa moto kwa sasa, yuko kwenye chat, ana trend kwenye media, kafanya ya maana hata kama ni ya kukurupuka, kawafunguwa watu macho jinsi TZ ilivyokuwa inaangamia kwa matumizi ya madawa ya kulevya na utajiri usiokifani wa watu wanaouza unga, huku mtaani hao hao wakisifika, kwa kutoa sadaka misikitini na makanisani, wakipaisha juu bei za viwanja, nguo hata vyakula, bila kusahau vitu vya anasa kama wine, bia, magari n.k. Kwa sasa ni nidhamu, hakuna ile "waletee walee wote"! n.k. Msifuni kwa hayo, na sio kumbeza kwa yale walio wengi walikuwa wakiogopa hata kuyasema..
 
Mbona masuala ya kumwagiana maji ni ya kike na mara chache kwa wanaume wa Dar es Salaam.
ukweli Ngosha umeni disappointment kabisa.
Alafu birthday huwa ni kwa wanawake na watoto bhana.
sure! yaan dume zma unakaa et unafanya birthday part tena unamwagiwa mi maji au pombe....loh
 
Mbona masuala ya kumwagiana maji ni ya kike na mara chache kwa wanaume wa Dar es Salaam.
ukweli Ngosha umeni disappointment kabisa.
Alafu birthday huwa ni kwa wanawake na watoto bhana.

Mkuu expedition nakuunga mkono. Mambo ya mwanamume kabsaaaaaa umekaaaaa, nasherekea birthday!(pua imebanwa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…