Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa ni kwenye birthday yake 15/02 jana
Ohoooo!!!Inasemekana na yeye yumo kwenye ile list ya Naibu Waziri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ndo kiongozi anayeongoza mkoa ...poleni sana
Acha basi,Inasemekana na yeye yumo kwenye ile list ya Naibu Waziri.
sure! yaan dume zma unakaa et unafanya birthday part tena unamwagiwa mi maji au pombe....lohMbona masuala ya kumwagiana maji ni ya kike na mara chache kwa wanaume wa Dar es Salaam.
ukweli Ngosha umeni disappointment kabisa.
Alafu birthday huwa ni kwa wanawake na watoto bhana.
Mkuu usinitafutie kesi ya uchochezi nina familia inanitegema.Acha basi,
ya kweli hayo mkuu?
Sio huu tu Usher, hata wa JK walienjoy sana.Clouds wanaenjoy utawala huu
Kumbe sio mzaramo kama weweMsukuma huyo.
Dar es Salaam hakuna maboya boya kama hao.
Mbona masuala ya kumwagiana maji ni ya kike na mara chache kwa wanaume wa Dar es Salaam.
ukweli Ngosha umeni disappointment kabisa.
Alafu birthday huwa ni kwa wanawake na watoto bhana.