solja njeree
Senior Member
- Aug 27, 2013
- 175
- 95
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkuu usinitafutie kesi ya uchochezi nina familia inanitegema.
Mimi nilisema "Inasemekana"
Unasemaje?Kamwagiwa maji sababu jamaa(Makonda) ni wa moto kwa sasa, yuko kwenye chat, ana trend kwenye media, kafanya ya maana hata kama ni ya kukurupuka, kawafunguwa watu macho jinsi TZ ilivyokuwa inaangamia kwa matumizi ya madawa ya kulevya na utajiri usiokifani wa watu wanaouza unga, huku mtaani hao hao wakisifika, kwa kutoa sadaka misikitini na makanisani, wakipaisha juu bei za viwanja, nguo hata vyakula, bila kusahau vitu vya anasa kama wine, bia, magari n.k. Kwa sasa ni nidhamu, hakuna ile "waletee walee wote"! n.k. Msifuni kwa hayo, na sio kumbeza kwa yale walio wengi walikuwa wakiogopa hata kuyasema..
Umeongea points tupu hapo, itafika kipindi vijana watakuwa hawaaminiki tutarudi kulekule kijana ni taifa la kesho.
Hivi kumbe kuna wanaume huwa wanafanya birthday?
Magufuli muangalie huyu bwana makondo aisee...
Utakuja ushtukie when it's too late..
Mtafute angalau anaejielewa au hata luteni mstaafu sio unawapeleka vijijini huko,makonda anafaa kuwa mkuu wa mkoa wa katavi huko au mkuu wa wilaya ili apata uzoefu fulani hivi...
Maybe mnayo ajenda moja aisee.
Hujaelewa mpuuzi kabisa, yaelekea uwezo wako wa kufikiri ni mdogo mno...Unasemaje?
Uyo alitakiwa apelekwe kagera kwa wahaya huko wangewezana kwa sifaMagufuli muangalie huyu bwana makondo aisee...
Utakuja ushtukie when it's too late..
Mtafute angalau anaejielewa au hata luteni mstaafu sio unawapeleka vijijini huko,makonda anafaa kuwa mkuu wa mkoa wa katavi huko au mkuu wa wilaya ili apata uzoefu fulani hivi...
Maybe mnayo ajenda moja aisee.
Hizi habari za kumwagiana maji ni za wanaume wa dar sio mikoaniNonsenses aisee.
Ndo mana vijana Tanzania hawaaminiki ktk uongozi.
Huyo sio wa Dar huyo msukuma wa Chato....amekuja mjini na LushangaHizi habari za kumwagiana maji ni za wanaume wa dar sio mikoani
HahahaHuyo sio wa Dar huyo msukuma wa Chato....amekuja mjini na Lushanga
Kamwagiwa njeMbona hajamwagiwa
HahahaNdio mana vijana wa clouds weng mapunga