Makonda alivyonusurika kumwagiwa maji na watangazaji wa Clouds

Makonda alivyonusurika kumwagiwa maji na watangazaji wa Clouds

Kamwagiwa maji sababu jamaa(Makonda) ni wa moto kwa sasa, yuko kwenye chat, ana trend kwenye media, kafanya ya maana hata kama ni ya kukurupuka, kawafunguwa watu macho jinsi TZ ilivyokuwa inaangamia kwa matumizi ya madawa ya kulevya na utajiri usiokifani wa watu wanaouza unga, huku mtaani hao hao wakisifika, kwa kutoa sadaka misikitini na makanisani, wakipaisha juu bei za viwanja, nguo hata vyakula, bila kusahau vitu vya anasa kama wine, bia, magari n.k. Kwa sasa ni nidhamu, hakuna ile "waletee walee wote"! n.k. Msifuni kwa hayo, na sio kumbeza kwa yale walio wengi walikuwa wakiogopa hata kuyasema..
Unasemaje?
 
Magufuli muangalie huyu bwana makondo aisee...
Utakuja ushtukie when it's too late..

Mtafute angalau anaejielewa au hata luteni mstaafu sio unawapeleka vijijini huko,makonda anafaa kuwa mkuu wa mkoa wa katavi huko au mkuu wa wilaya ili apata uzoefu fulani hivi...

Maybe mnayo ajenda moja aisee.

Precisely.
 
Afu huo muda alioenda clouds si ulikua muda wa kazi??
Ofisini wanafanya kazi kweli?
Afu ukute apo alienda kwa kutumia gari na mafuta ya serikali
 
Magufuli muangalie huyu bwana makondo aisee...
Utakuja ushtukie when it's too late..

Mtafute angalau anaejielewa au hata luteni mstaafu sio unawapeleka vijijini huko,makonda anafaa kuwa mkuu wa mkoa wa katavi huko au mkuu wa wilaya ili apata uzoefu fulani hivi...

Maybe mnayo ajenda moja aisee.
Uyo alitakiwa apelekwe kagera kwa wahaya huko wangewezana kwa sifa
 
Hapa nimegundua kwanini makonda issue ya madawa alikurupuka...elimu yake ni zero..ni mtu anaefanya kazi bila ueledi

Sasa serikali hii kupitia mama Ndalichako na Magufuli wasipotupa jibu la Makonda na kufoji vyeti..ndio mwanzo wa kudhalau utawala huu

Watu wengi walifukuzwa kwa hoja ya vyeti..Je makonda ni sahihi kutumia vyeti fake??? Au kwa kuwa ndio informer wa ikulu
 
Back
Top Bottom