Makonda amejijengea CV kubwa ndani ya nchi na ndani ya Chama cha Mapinduzi

Chuo cha Ushirika Moshi ni Kimbilio la Failures na Vilaza.
Afadhali hata ya UDOM
 
Unaweza ukateleza pia ukaanguka, inategemea siku hyo malaika wako kaamkia wap
 
Acha kumpamba huyo kiazi mbatata, kama ni smart kama unavyompamba kwanini atafute kazi ebu ang'are nje ya mfumo ndio bandiko lako litakua na mashiko.
 
Mmeanza
 
Inaonyesha makonda ana kikundi chake cha mtandaoni,lakini kwa sasa hakiwezi msaidia kitu zaidi kitamlia hela zake bure,labda ajaribu kwa waganga.
 
Kwahiyo elimu ya 4m4 kuna semista??
 
Mkuu, huo wasifu alionijengea Makonda ndani ya nchi na CCM, ni kwa sababu vyote vinaongozwa na mtu mmoja. Kwa hiyo kwa kifupi anakubalika mbele yake, pengine ili kuweza kutimiza malengo fulani.

Mtu ambaye haruhusiwi kwenda Marekani, mtu ambaye anahusishwa na tukio lile la Mzee Warioba kipindi kile cha mchakato wa rasimu ya katiba, mtu mtata ambaye anauhishwa kiana na matukio ya watu wasiojulikana, mtu ambaye aliitwa bungeni kuhojiwa na kamati ya haki na maadili, mtu aliyeingiza nchini makasha yenye thamani za ndani kule bandarini yaliyogubikwa na utata mwingi n.k.

Ni mtu asiyemtambua vyema mtu huyu ndiye atapata ujasiri wa kupigia debe juu ya wasifu wake. Ukitaka kutambua wasifu wake wa kweli, basi itakuwa ni ktk kipindi ambacho Mkulu hayupo tena ofisini na mwenye kubeba mamlaka ya uraisi. Hapo ndipo utapata kuyaona madudu yake yalijificha ndani ya ukiritimba wa uongozi wa sasa.
 
Ungetulia na kwenda kimya kimya kuomba DED wa manispaa .....shida yako ni njaa $$ RC hauna hela za kuchezea ulizoea kuwapora wafanya biashara sasa naona game sio ....
 
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi

Eti cv, labda za kuivamia clouds
 
Labda hazina ya nyumbani kwako
 
Labda umenywea wewe ambaye huna uhakika wa leo utakula nini
Makonda ni makini sana,kawatuliza wale waliokuwa wanajifanya wa mjini,wamenywea wote,wamebakiza matusi tu nyuma ya keyboards kupunguza nyongo zao
 
Na hata baba yake itategemea ameamka vipi siku hiyo!
CV gani? Anawaambia kina Bashiru wakubwa zake wanamtambuaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwache kwanza azururee mjini hapaa mpaka pale Baba ake itakapompendezaa tena
 
Kweli watu mna jua kujipendekeza, yaani hujui kuwa Bashite alishafukuzwa kibarua?

Kama bado una mahaba naye nenda kafanye kazi nyumbani kwake.
Naiunga mkono hoja Makonda Jembe na yeye pekee ndo anaiweza Dar Es salaam...!

Yani kiufupi mpaka sasa tusha mmiss Sana



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…