Makonda amejijengea CV kubwa ndani ya nchi na ndani ya Chama cha Mapinduzi

Naiunga mkono hoja Makonda Jembe na yeye pekee ndo anaiweza Dar Es salaam...!

Yani kiufupi mpaka sasa tusha mmiss Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Dar imepoa sana aliekuwa anaichangamsha hayupo. Ila nina uhakika jamaa jina lake litapita tu na ubunge atashinda. Yule jamaa wa afya wa zamani ajiandae kisaikolojia.
 
Bashite ni Bashite tu, mwandiko wa mleta mada unanifanya nifikirie chuo na Ushirika kina tatizo gani [emoji848]
Angalia mtu kama Bashite na mleta mada kama reference yako.
 
Sasa unataka sisi tufanyeje?.. kwani sisi ndo WAJUMBE? SIO WA KWANZA YEYE BANAH DAR ILIKUWEPO NA ITAENDELEA KUWEPO
 
Ni kweli CV yake inafahamika nchi nzima na kwa kiasi fulani, hata Duniani.

Hapa kwetu kikubwa tunachokiona kwenye CV yake ni kuwa kiongozi wa lile kundi la maharamia Wasiojulikana.

Na kule US CV yake inajulikana kama mtu anayetisha na kuwanyima watu haki ya kuishi Duniani.

Kwa sasa huenda kwa Tanzania, hakuna mtu anayejulikana kuwa na CV mbaya kama huyu bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Pompeo alisema kwa nini hawataki aingie Marekani?
 
Makonda yuko vizuri, ila alilewa,alilewa madaraka. Kichwa chake chepesi sana kulewa.walevi wananielewa vizuri.
 
Inabidi tubadili muundo wa uandishi wa CV hususani kwa mtu ambaye ananegatives nyingi kuliko postives!
 
Binafs sijawahi kuliona kosa lake, hasa ndani ya utawala wake, ila ni chuki tu waliyo nayo wapinzani wake.
 
Jamani kuweni wapole, huyu jamaa namfahamu, jamaa ametoka mbali sana na anakoelekea ni mbali, hivyo kuweni na hikima sana mnapo mjadili.

Mimi kwa mara ya kwanza nilikutana naye Ushirika Moshi na kuna semista tulikaa chumba kimoja hivyo nimeunganisha story yote na hadi hapa nimeona mnamjadili nje sana huyu jamaa.

Na wengi wetu hatujui ugumu wa kazi ya ukuu wa mkoa, tena mkoa kama Mzizima, tena ukiwa kiongozi kama Mkaonda anayeibua matukio mazito mazito ambayo yakigonga katika jamii yalikuwa yanamludia vipande vipande kama mawe yanamgonga gonga mwilini na yeye ananyama hivyo alikuwa anaumia.

Kazi ya ukuu wa mkoa mjue haina mafungu labda mkurugenzi akupe krosi au pasi ndiyo utoke. Jamani ukiwa mkuu wa mkoa siyo kama zamani, kwani zamani ulikuwa na uhakika miaka yote 10 kuwa ofisini labda ubadilishwe mkoa au kupata cheo zaidi lakini kwa sasa ni tofauti hadi siku ikiisha na jua limezama ndiyo unapumua.
Lingine lazima mjue na kuamini wajumbe siyo watu..

Makonda amejijenge sivii kubwa ndani ya nchi na ndani ya Chama cha Mapinduzi. Makonda yupo kama buludoza hanaga woga, kama noma yeye anakubaligi iwe noma, anaujasiri mkubwa wakumvaa mtu hata kama ninyi mnamuona kwenu anaheshma yeye anampandia ilimladi akiamini huyo mtu amekosea anauwezo wa kusema nae.

Kwa sisi tunaoishi Dar tutakubali kuwa alikuwa anatuchangamsha sana kama tunafanya mazoezi bila kujua hapa mjini.

Hivyo Makonda ni hazina kubwa kwa taifa kwani kutereza siyo kuanguka.
sasa mbona mnanyima kura?
 
hiki chuo cha ushirika moshi VP!?mbona watu waliosoma hapo kichwani kama hamna kitu!makonda vyeti feki huyu naye anatuandikia utumbo!!
 
WTF, yaani mtu katoka UVCCM, kawa DC na baadae kawa RC tu, hana good academic background, hajawahi shika any challenging political position, hio CV inatoka wapi? Kama sio kulindwa na mamlaka zilizomteua Makonda alitakiwa kufukuzwa kazi 4yrs ago.
Au vp bwana
 
Back
Top Bottom