Makonda amejijengea CV kubwa ndani ya nchi na ndani ya Chama cha Mapinduzi

Nakuunga mkono kwa 100%
WTF, yaani mtu katoka UVCCM, kawa DC na baadae kawa RC tu, hana good academic background, hajawahi shika any challenging political position, hio CV inatoka wapi? Kama sio kulindwa na mamlaka zilizomteua Makonda alitakiwa kufukuzwa kazi 4yrs ago.
 

Naona Lemutuz Mobenga umekuja na ID Mpya
 
Ndo unachafulia chuo Cha ushirika jina kwa uandishi wako huu?Tumekuelewa hivyohivyo, alafu sasa umeahidiwa nini?
 
Makonda ndio Nani??
 
daza steven hatupo mjini tuchangamshwe bali kujenga familia zetu, jamii zetu na taifa kwa ujumla. Kama unampenda huyo Makonda wako nenda kwake akakuchangamshe. Pumb.vu sana.
 
Mimi siyo mramba miguu wa Bashite kama wewe
Nchi inakosa kupata maendeleo kwa haraka kwasababu ya kuwepo na watu kama wewe...!

Lakini nadhani mmeanza kupungua ndo maana tumeingia Uchumi wa kati mapema [emoji23] (Jokes)

Ila kiukweli watu Kama nyinyi hamtakiwi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abuni mradi sasa ajiajiri,au uhazina wake upo kwenye nafasi za kupewa tu Kama yatima?
 
Mtu anayeonga milion 100 ndiye unasema ni mtu makini
 
Wewe huwezi kumsafisha huyo, atakapofikishwa mahakamani ndio utaelewa ila kwa sasa kuleni hela zake tu.

Muda unakuja mtakuja kumkana tena atakapokuwa kizimbani akipigwa mvua mwenyewe, kwa sasa mnaweza kuendelea kumpelekea maji chooni asafishie matako. No one can defeat justice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…