Kuna watu wanakurupuka vitandani mwao na kuwaacha wenzao wao vitandani kisa tu waje waripoti Makonda this, Makonda that! Halafu wakiambiwa Makonda ndio "talk of the town" wanabisha!!!Makonda this, Makonda that
Ni kweli kabisa, ukombozi wa blacks kwenye maisha ni ngumu sana.. unafiki umekithiri. Makonda anajitahidi kupunguza maumivu ya wanyonge, lakini bado wanampiga vita..Hivi watanzania tuna laana ama hii nchi imejaa machizi???Hivi kero tunazoona watu wanalia hawajapata haki unakuta bado kuna mbulukenge inakuja kutukana Makonda...dah.. Mnataka viongozi wasio wasikiliza sometime unaona ni bora tu viongozi wanavyoyaburuza ma tz maana akili ni sifuri bin zero