Makonda amwandikia ujumbe Zari wa Diamond

Baada ya Diamond kuweka wazi kuwa kazaa nje ya ndoa, mwananziki mkongwe Profaseer jay ampongeza Diamond kuwa mkweli.

Upande mwingine Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameguswa na uchungu na kumwandikia ujumbe wa pole zari the boss lady kujua yote pitia video hii.


 
Kwahiyo zari atimke? Unaweza kuta wewe ndo makonda unatuzingua na akaunt fake hahahah
Ni mtu mzima ataelewa cha kufanya, yeye ndiye alievaa viatu amaelewa kuwa vinamtosha au vina mbana
 
Ivi ni kitu gani kinachomfanya asioe,ni uwezo hana ama
 
Ivi ni kitu gani kinachomfanya asioe,ni uwezo hana ama
Hahahah..! Sure I love you..! (just as friend). Usingekuwa mchagga ningekuomba ata ukinipiga cha mbavu ningechukulia poah[emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…