Makonda amwandikia ujumbe Zari wa Diamond

Makonda amwandikia ujumbe Zari wa Diamond

Watu wnashangaza kweli, eti Diamond kazaa nje ya ndoa, kaoa lini?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Mtu akicheat inauma lakini mtoto atakukumbusha yale maumivu maisha yako yote
Ni kweli kuna wakat nilikuwa nikidhani cheating inauma akifanyiwa mwanaume tu, sasa najaribu kuigeuza halow inauma tena sio kitoto nafikiri kwa mwanaume anaweza akamwacha kabisa na mwanamke mwenyewe..!!
 
Mi ukiniambia umezaa nje bahat mbaya ni ngum kukuelewa
 
Ila kwa mtazamo labda dai ana mengi aliyofanya na hamisa na dai labda alitaka kumkataa mtoto hamisa akampa mkwara kwanza inamaana kwamba kama angeendelea kumkana angeyafunua mengi
dai akaona isiwe kesi
 
Back
Top Bottom