Makonda amwandikia ujumbe Zari wa Diamond

Makonda amwandikia ujumbe Zari wa Diamond

Sijui dar tulimkosea nini mungu kumpata rc wa dizaini hii
Sijaona kiongozi yoyote wa serikali issue za udaku kama hizi eti anapost kumpa pole zari
Hata tundu lissu hujawah kumpa pole hata siku moja
Muda wa ofisini unakaa instagram
Wa kumpa pole zali ni mwanaume au mwanamke kama zari?
Nimeshangaa sana
Tuna rc wa ajabu kuwahi kutokea
 
Baada ya Diamond kuweka wazi kuwa kazaa nje ya ndoa, mwananziki mkongwe Profaseer jay ampongeza Diamond kuwa mkweli.

Upande mwingine Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameguswa na uchungu na kumwandikia ujumbe wa pole zari the boss lady kujua yote pitia video hii.



[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kabisa yani
mtoto raha sana mwambie.alitaka amkatae mtoto sio? hizo mambo aachie wenye mbegu zao
 
Hata mm sikukuona uje hapa umpongeze kwa juhud zake kikazi kwa mf juz yale mabadiliko kwenye jeshi la police

Kwa hyo kama ww unavo ona amkosa peke yake huoni jema
 
Back
Top Bottom