Makonda amwandikia ujumbe Zari wa Diamond

Makonda amwandikia ujumbe Zari wa Diamond

Ha haha ha ha ha ha mbavu zangu wewe unadhani ule mfungashio wa nyuma una tofauti na kazi ya Zarina?? halafu mnaulizia kwanini hana mtoto........... Hebu nipisheni mie nikabiliane na hali yangu
Mku Watoto ni mpango wa Mungu. Lakini ana mtoto
 
Unategemea mmoja wa wahusika waliokabidhiwa kazi ya kumuua Lissu atoe pole kweli? Huyu pia ndiye muhusika wa kupotea kwa Ben Saanane na kutekwa na kuteswa kwa Roma na wenzie.

Sijui dar tulimkosea nini mungu kumpata rc wa dizaini hii
Sijaona kiongozi yoyote wa serikali issue za udaku kama hizi eti anapost kumpa pole zari
Hata tundu lissu hujawah kumpa pole hata siku moja
Muda wa ofisini unakaa instagram
Wa kumpa pole zali ni mwanaume au mwanamke kama zari?
Nimeshangaa sana
Tuna rc wa ajabu kuwahi kutokea
 
Mwanaume uliekamilika unaanzaje kuingia kwenye udaku .?? Kweli unaweza toa ushauri lakini kwenye hili ambao watu wenyewe ni mahawara.
Ingekuwa ndoa nafasi ipo ya kushauri kama kiongozi lakini hili mmmmmmmh.
 
Hajitambui kwamba ana miaka mingi sana ya kufanya siasa; hawa wanaompa kichwa kwa sasa watapita - sasa sijui position yake kisiasa baaba ya awamu hii itakuwaje. Hilo kwake si jambo la maana analolipa nafasi kabisa kichwani kwake.
 
The way Tundu has been insulting him, I can understand makonda and he deserves no blame. Hata wewe usinge enda kumzika anayekutukana NA anayetaka kukunyanganya tonge mdomoni mwako.

Tusijishabikie bila busara, hapakuwa undugu wa pendo la kindugu kati yao
 
Sijui dar tulimkosea nini mungu kumpata rc wa dizaini hii
Sijaona kiongozi yoyote wa serikali issue za udaku kama hizi eti anapost kumpa pole zari
Hata tundu lissu hujawah kumpa pole hata siku moja
Muda wa ofisini unakaa instagram
Wa kumpa pole zali ni mwanaume au mwanamke kama zari?
Nimeshangaa sana
Tuna rc wa ajabu kuwahi kutokea
Huyu hana rafiki wa kudumu
 
Sisi tunajua hvyo...basi si atuumbue tu.

Nyie siku zenu zinahesabika, huwezi lalamika kila siku unaonewa wakati huohuo kwako kuonea wengine iwe haki, mkumbuke jinai haina muda kwa hiyo kujificha nyuma ya keyboard na kuinsult government officials eti kwa sababu huwapendi tu na uone ni haki yako usidhani utakuwa salama wakati wote, ni wajibu wa kila raia kutii sheria za nchi.
 
Back
Top Bottom