Makonda amwandikia ujumbe Zari wa Diamond

Makonda amwandikia ujumbe Zari wa Diamond

Anaanza vipi kumpa pole wakati mlishahitimisha kuwa yeye ndio muhusika wa shambulio la Mh Lissu?sipati picha hayo matusi yake endapo angethubutu kutoa hiyo pole😀
kwakuwa kila mtu yupo huru, msimpangie.
 
Mtu ambaye hajasoma hawezi kumpa pole mtu mwenye elimu kubwa ya kutosha kama yule kwahiyo msimlaumu kwanza yeye ni shilawadu kwahiyo team yake ya shilawadu lazma aisapot
 
Sijaona kama nitatizo kwani kila jambo lazima ashiriki?napia inatokana na utashi na kuguswa juu ya jambo husika
 
Sijui dar tulimkosea nini mungu kumpata rc wa dizaini hii
Sijaona kiongozi yoyote wa serikali issue za udaku kama hizi eti anapost kumpa pole zari
Hata tundu lissu hujawah kumpa pole hata siku moja
Muda wa ofisini unakaa instagram
Wa kumpa pole zali ni mwanaume au mwanamke kama zari?
Nimeshangaa sana
Tuna rc wa ajabu kuwahi kutokea
hivi angempa lissu pole si ndio angejipalia makaa kwa matusi humu mtandaoni?
 
Sijui dar tulimkosea nini mungu kumpata rc wa dizaini hii
Sijaona kiongozi yoyote wa serikali issue za udaku kama hizi eti anapost kumpa pole zari
Hata tundu lissu hujawah kumpa pole hata siku moja
Muda wa ofisini unakaa instagram
Wa kumpa pole zali ni mwanaume au mwanamke kama zari?
Nimeshangaa sana
Tuna rc wa ajabu kuwahi kutokea
Huyo anawashwawashwa kma mstaafu
 
Huyu pamoja na u-RC pia ni baba mlezi wa WCB, So ni haki baba mkwe wa Zari kutafuta suluhu. hahah
 
lazima awape pole wanawake wenzake maana na yeye akiachika au mumewe akijaza mimba mtu mwingine yatamkuta kama hayo...wanawake na maendeleo
 
Mika.haba mingine bhana, kwani lazima upendacho wewe na yeye apende? naanzaje kumpa pole mtu nisiyependa upuuzi, na uhayawani wake uexist kama sio unafki? na siku za huu mtandao mnazifanya zihesabike kwa mambo ya kishenzi kama haya..kutompenda mtu haimaanishi umemuua au umeatempt kumuua, kutuhumu mtu hivyo bila a water tight evidence ni kinyume cha sheria za nchi pia.
 
Back
Top Bottom