Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Hapo inategemea Diamond atacheza vipi karata zake, yeye na Zari wanawatoto wawili kitu ambacho kinaweza kua advantage kwenye ku reconcile kama akidhamiria,lakini karata ya kwanza(kwenda public issues ya Mobeto) kaicheza vibaya kwa mtazamo wanguHasa akiwa yule unaempenda hata akikununulia box la chocolate tu yamekwisha. Tatizo hawa maisha yao yako insta lazima waangalie watu watareact vipi.