Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Sio maneno yangu. Ni mazungumzo ya raia wema waliokuwa wakijadili kuhusu utendaji kazi wa mkuu wa mkoa wa Arusha ndugu Paul Makonda.
Mmoja wa wananzengo hao alisema, "wenzetu wamepata mkuu wa mkoa, sijui kwanini wa kwetu hawaigi kutoka kwake? Angalia jinsi anavyotatua kero za raia. Hivi kwanini wengine wasiige?"
Ama kweli inawezekana huyu ndugu yetu ana nyota kali sana ya kukubalika au tuseme ana ngekewa/bahati.