Tulikuonya kuacha kukaa vijiwe vya kahawa pale ferry!! Hizo kahawa za hapo wanachanganya na bangiSio maneno yangu. Ni mazungumzo ya raia wema waliokuwa wakijadili kuhusu utendaji kazi wa mkuu wa mkoa wa Arusha ndugu Paul Makonda.
Mmoja wa wananzengo hao alisema, "wenzetu wamepata mkuu wa mkoa, sijui kwanini wa kwetu hawaigi kutoka kwake? Angalia jinsi anavyotatua kero za raia. Hivi kwanini wengine wasiige?"
Ama kweli inawezekana huyu ndugu yetu ana nyota kali sana ya kukubalika au tuseme ana ngekewa/bahati.
Dogo anapiga kazi ila Ana makando kando mengi sana kuhusu kudhulumu watu kwa mabavu! Kuvunja haki za binadamu! Na pili kutofuata sheria
Britanicca
Nipe kashfaUnaweza kutuwekea orodha ya majina matatu, au mawili tu ya viongozi waliopo madarakani ambao wamekidhi vigezo vyote vya uchapakazi, uadilifu, utawala Bora, kutii Sheria, uzalendo n k?
Kuua ni moja kati ya mapungufu/ kashfa nilizozitaja hapo juu.Nipe kashfa
Ya kuua ya Bashungwa au Hussein Mwinyi,?
Naunga mkono hojaAma kweli inawezekana huyu ndugu yetu ana nyota kali sana ya kukubalika au tuseme ana ngekewa/bahati.
Maneno tu yasiyo na ushahidi! Mwamba huyo subiri muda haudanganyi!Nyamitako mikono yake imejaa damu hafai kabisa
Muuaji hawezi kuwa Rais wa nchi hii, kama unampenda mkaribishe kwako mnywe kahawa.Maneno tu yasiyo na ushahidi! Mwamba huyo subiri muda haudanganyi!
Yule anatakiwa kuwa gerezani kwa kifungo cha maishaMuuaji hawezi kuwa Rais wa nchi hii, kama unampenda mkaribishe kwako mnywe kahawa.
Ameua watu wengi sn na hajawahi kukanushaNyamitako mikono yake imejaa damu hafai kabisa
Mifumo imeharibiwa sn na CCMNdo mana hii nchi kila siku itaendelea kuwa maskini. Badala mzungumzie kutengeneza mifumo imara kupitia Katiba Bora kila siku mnahangaika humu kuongelea watu!
Hii nchi ujinga ni kipaji!
Kwa hiyo tusijenge mifumo imara ya kutatua kero za wananchi tuishie kutegemea mtu mmoja?
Ndo mana Wazungu wanatuita manyani!
Ni maneno ya raia? Unajua tofauti ya raia na uongozi wa hii nchi? Raia hawawez ku influence changes kwenye uongozi , ungozi ndio unaamua nani awe hata kama hawampendiSio maneno yangu. Ni mazungumzo ya raia wema waliokuwa wakijadili kuhusu utendaji kazi wa mkuu wa mkoa wa Arusha ndugu Paul Makonda.
Mmoja wa wananzengo hao alisema, "wenzetu wamepata mkuu wa mkoa, sijui kwanini wa kwetu hawaigi kutoka kwake? Angalia jinsi anavyotatua kero za raia. Hivi kwanini wengine wasiige?"
Ama kweli inawezekana huyu ndugu yetu ana nyota kali sana ya kukubalika au tuseme ana ngekewa/bahati.
Hawezi kuwa Rais ni kweli wafanyabiashara wanamwona kama mtu hatari sana kwaoDogo anapiga kazi ila Ana makando kando mengi sana kuhusu kudhulumu watu kwa mabavu! Kuvunja haki za binadamu! Na pili kutofuata sheria
Britanicca
Ni muuaji hafai kwenye jamiiDogo anapiga kazi ila Ana makando kando mengi sana kuhusu kudhulumu watu kwa mabavu! Kuvunja haki za binadamu! Na pili kutofuata sheria
Britanicca
Hafai ni mtu hatari sn kwa jamiiHawezi kuwa Rais ni kweli wafanyabiashara wanamwona kama mtu hatari sana kwao