Tetesi: Makonda anajenga mtandao kujiandaa na urais 2025

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Kuna jamaa nimekutana nae ambaye ni mpiga picha binafsi wa bwana Makonda ndio ameninyetisha kuwa jamaa anataka nayeye 2025 agombee urais,anachokifanya sasa ni kusaka sifa kuwapiku kina Makamba na Mwigulu.

Analengo 2020 agombee ubunge ameambiwa atapewa uwaziri wa TAMISEMI.
 
Kuna jamaa nimekutana nae ambaye ni mpiga picha binafsi wa bwana Makonda ndio ameninyetisha kuwa jamaa anataka nayeye 2025 agombee urais,anachokifanya sasa ni kusaka sifa kuwapiku kina Makamba na Mwigulu
Analengo 2020 agombee ubunge ameambiwa atapewa uwaziri wa tamisemi
Huu ni mda wa kazi hizo siasa tukianza kuzitilia maanani leo unahisi kuna litakolofanyika katika maendeleo
 
Kuna jamaa nimekutana nae ambaye ni mpiga picha binafsi wa bwana Makonda ndio ameninyetisha kuwa jamaa anataka nayeye 2025 agombee urais,anachokifanya sasa ni kusaka sifa kuwapiku kina Makamba na Mwigulu
Analengo 2020 agombee ubunge ameambiwa atapewa uwaziri wa tamisemi
Wonders shall never end[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kuna jamaa nimekutana nae ambaye ni mpiga picha binafsi wa bwana Makonda ndio ameninyetisha kuwa jamaa anataka nayeye 2025 agombee urais,anachokifanya sasa ni kusaka sifa kuwapiku kina Makamba na Mwigulu
Analengo 2020 agombee ubunge ameambiwa atapewa uwaziri wa tamisemi
Anatufaa sana!, urais sasa ni hati miliki ya Kanda ya Ziwa!, nilimuombea u RC wa DSM, ombi langu likakubaliwa, muda ukifika, nitamuombea urais, kama nilivyomuombea Magufuli akashinda!.

Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...

Pasco
 
Kuna jamaa nimekutana nae ambaye ni mpiga picha binafsi wa bwana Makonda ndio ameninyetisha kuwa jamaa anataka nayeye 2025 agombee urais,anachokifanya sasa ni kusaka sifa kuwapiku kina Makamba na Mwigulu
Analengo 2020 agombee ubunge ameambiwa atapewa uwaziri wa tamisemi
Hangaikeni lakini safu ishawekwa na system. Mtoto wa mzee Mwinyi anaweza kuipeperusha bendera ya CCM.Hawa wengine wote ni watia nia tu.Hamjajua mpaka sasa kwanini ni waziri wa wizara nyeti mfululizo? Hamkuligundua hata hilo?
 
System ipi? Iliyoshindwa kumpa nchi Salim na kigoda 2005? Au iliyochemka kumpa membe na Makamba 2015?
 
Kuna jamaa nimekutana nae ambaye ni mpiga picha binafsi wa bwana Makonda ndio ameninyetisha kuwa jamaa anataka nayeye 2025 agombee urais,anachokifanya sasa ni kusaka sifa kuwapiku kina Makamba na Mwigulu.

Analengo 2020 agombee ubunge ameambiwa atapewa uwaziri wa TAMISEMI.
hizi ni tetesi,ila si mbaya kila binadamu ana malengo yake na ni vizuri kujitahidi kuyafikia pasipo kuwa kero au kikwazo kwa wengine na zaidi ni kumshirikisha Mungu.Hongera Makonda kama hizi tetesi zina ukweli ndani yake.
 
Kuna jamaa nimekutana nae ambaye ni mpiga picha binafsi wa bwana Makonda ndio ameninyetisha kuwa jamaa anataka nayeye 2025 agombee urais,anachokifanya sasa ni kusaka sifa kuwapiku kina Makamba na Mwigulu.

Analengo 2020 agombee ubunge ameambiwa atapewa uwaziri wa TAMISEMI.
Mi mwenyewe nitampigia.
 
Back
Top Bottom