Allineando
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,064
- 1,124
Subutu yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha!!Anatufaa sana!, urais sasa ni hati miliki ya Kanda ya Ziwa!, nilimuombea u RC wa DSM, ombi langu likakubaliwa, muda ukifika, nitamuombea urais, kama nilivyomuombea Magufuli akashinda!.
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Pasco
Anatufaa sana!, urais sasa ni hati miliki ya Kanda ya Ziwa!, nilimuombea u RC wa DSM, ombi langu likakubaliwa, muda ukifika, nitamuombea urais, kama nilivyomuombea Magufuli akashinda!.
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Pasco
Mm ni nao KakaMwenye albamu ya Mr Ebbo naomba anitumie natafuta wimbo mmoja hivi unaenda kwa jina la "BANGI BWANA"
Naomba link mkuu niipateMm ni nao Kaka
Upo kwenye memory search google utaupataNaomba link mkuu niipate
Unamfananisha huyu na ababu namwamba kwelu, ababu wa dunia nyingine yuleAkawaangalie kina Ababu na Mwamba huko Kenya!
mende kwani we wajiona ni mtuMi mwenyewe nitampigia.
Wanabodi, kwenye bandiko hili Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia... nilishauriAnatufaa sana!, urais sasa ni hati miliki ya Kanda ya Ziwa!, nilimuombea u RC wa DSM, ombi langu likakubaliwa, muda ukifika, nitamuombea urais, kama nilivyomuombea Magufuli akashinda!.
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Pasco
Hata baada ya kuteuliwa kuwa Mwenezi wa CCM, Paul Makonda bado anapigwa vita na wasiomtakia mema, wasioitakia mema CCM na wasio itakia mema Tanzania.Wanabodi,
Hili ni bandiko la kuhamasisha a mass mobilization ya kupata kundi kubwa la watu, kuunga mkono kwa dhati, juhudi kubwa zinazofanywa na Mkuu Mhe. Paul Christian Makonda, katika vita mbalimbali,
Hivyo hili ni bandiko la wito kwa kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki wa dhati, wanaomjua Makonda kwa karibu na kwa ukweli, njooni tujitokeze kwa wingi, kumtetea Makonda tunayemfahamu dhidi ya uongo na uzushi unaozushwa na kusambazwa na mapapa wauza unga
Ndugu, Jamaa na Marafiki, Tujitokeze Kwa Wingi Kumtetea Makonda
Paskali.
Unawaombea kwa nani?Anatufaa sana!, urais sasa ni hati miliki ya Kanda ya Ziwa!, nilimuombea u RC wa DSM, ombi langu likakubaliwa, muda ukifika, nitamuombea urais, kama nilivyomuombea Magufuli akashinda!.
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Pasco