Tetesi: Makonda anajenga mtandao kujiandaa na urais 2025

Tetesi: Makonda anajenga mtandao kujiandaa na urais 2025

Mwenye albamu ya Mr Ebbo naomba anitumie natafuta wimbo mmoja hivi unaenda kwa jina la "BANGI BWANA"
 
Kuna jamaa nimekutana nae ambaye ni mpiga picha binafsi wa bwana Makonda ndio ameninyetisha kuwa jamaa anataka nayeye 2025 agombee urais,anachokifanya sasa ni kusaka sifa kuwapiku kina Makamba na Mwigulu.

Analengo 2020 agombee ubunge ameambiwa atapewa uwaziri wa TAMISEMI.
Mungu amrehemu
 
Yeye ajenge mtandao tu tena asisahau kujenga na minara ya kutosha lkn asisahau kesi zinzomkabiri. Kama angekuwa mzima kichwani angemshukuru Mungu kufikia hatua aliyonayo maana naona kutoka kwenye nafasi aliyonayo sasa hawezi kupanda hata hatua moja zaidi ya kuporomoko. Wakati utatuambia
 
hhahahaha u made my day mkuu
 
hutuwezi kuchagua mtu mwenye tuhuma za kufoji vyeti. hata kama ni kweli hakuwahi kufoji vyeti. mgombea wa ccm hapaswi hata kutuhumiwa kwa kashfa kama hizo. hakuna mda wa kumsafisha. ccm wapo smart sana, asubiri uwaziri mkuu, kama atabahatika kwa nafasi hiyo.
 
Atakuwa bado "mtoto" .....2025 ndio kwanza 43yrs
 
Hafiki kote huko atakuwa ameporomoka big time kisiasa!!! Hata akibebwajee Hafiki kokote!!! 2025 nchi yaenda kwa upande wa pili mwambie awahi Bakwata wamtie maji......pia amalizie li jengo la 5Bil
 
Huo mtandao utakuwa ni wa vilaza kama yeye.
 
Back
Top Bottom