Huu ni mda wa kazi hizo siasa tukianza kuzitilia maanani leo unahisi kuna litakolofanyika katika maendeleoKuna jamaa nimekutana nae ambaye ni mpiga picha binafsi wa bwana Makonda ndio ameninyetisha kuwa jamaa anataka nayeye 2025 agombee urais,anachokifanya sasa ni kusaka sifa kuwapiku kina Makamba na Mwigulu
Analengo 2020 agombee ubunge ameambiwa atapewa uwaziri wa tamisemi
Wonders shall never end[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna jamaa nimekutana nae ambaye ni mpiga picha binafsi wa bwana Makonda ndio ameninyetisha kuwa jamaa anataka nayeye 2025 agombee urais,anachokifanya sasa ni kusaka sifa kuwapiku kina Makamba na Mwigulu
Analengo 2020 agombee ubunge ameambiwa atapewa uwaziri wa tamisemi
Anatufaa sana!, urais sasa ni hati miliki ya Kanda ya Ziwa!, nilimuombea u RC wa DSM, ombi langu likakubaliwa, muda ukifika, nitamuombea urais, kama nilivyomuombea Magufuli akashinda!.Kuna jamaa nimekutana nae ambaye ni mpiga picha binafsi wa bwana Makonda ndio ameninyetisha kuwa jamaa anataka nayeye 2025 agombee urais,anachokifanya sasa ni kusaka sifa kuwapiku kina Makamba na Mwigulu
Analengo 2020 agombee ubunge ameambiwa atapewa uwaziri wa tamisemi
Hangaikeni lakini safu ishawekwa na system. Mtoto wa mzee Mwinyi anaweza kuipeperusha bendera ya CCM.Hawa wengine wote ni watia nia tu.Hamjajua mpaka sasa kwanini ni waziri wa wizara nyeti mfululizo? Hamkuligundua hata hilo?Kuna jamaa nimekutana nae ambaye ni mpiga picha binafsi wa bwana Makonda ndio ameninyetisha kuwa jamaa anataka nayeye 2025 agombee urais,anachokifanya sasa ni kusaka sifa kuwapiku kina Makamba na Mwigulu
Analengo 2020 agombee ubunge ameambiwa atapewa uwaziri wa tamisemi
Wewe pasco maneno yako hua hayafananii na haiba yako. Jionee aibu siku moja basi.Anatufaa sana!, urais sasa ni hati miliki ya Kanda ya Ziwa!, nilimuombea u RC wa DSM, ombi langu likakubaliwa, muda ukifika, nitamuombea urais, kama nilivyomuombea Magufuli akashinda!.
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Pasco
serious?Anatufaa sana!, urais sasa ni hati miliki ya Kanda ya Ziwa!, nilimuombea u RC wa DSM, ombi langu likakubaliwa, muda ukifika, nitamuombea urais, kama nilivyomuombea Magufuli akashinda!.
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Pasco
System ipi? Iliyoshindwa kumpa nchi Salim na kigoda 2005? Au iliyochemka kumpa membe na Makamba 2015?Hangaikeni lakini safu ishawekwa na system. Mtoto wa mzee Mwinyi anaweza kuipeperusha bendera ya CCM.Hawa wengine wote ni watia nia tu.Hamjajua mpaka sasa kwanini ni waziri wa wizara nyeti mfululizo? Hamkuligundua hata hilo?
hizi ni tetesi,ila si mbaya kila binadamu ana malengo yake na ni vizuri kujitahidi kuyafikia pasipo kuwa kero au kikwazo kwa wengine na zaidi ni kumshirikisha Mungu.Hongera Makonda kama hizi tetesi zina ukweli ndani yake.Kuna jamaa nimekutana nae ambaye ni mpiga picha binafsi wa bwana Makonda ndio ameninyetisha kuwa jamaa anataka nayeye 2025 agombee urais,anachokifanya sasa ni kusaka sifa kuwapiku kina Makamba na Mwigulu.
Analengo 2020 agombee ubunge ameambiwa atapewa uwaziri wa TAMISEMI.
sasa hivi huna tofauti na kina Lizaboni WakudadavuwaAnatufaa sana!, urais sasa ni hati miliki ya Kanda ya Ziwa!, nilimuombea u RC wa DSM, ombi langu likakubaliwa, muda ukifika, nitamuombea urais, kama nilivyomuombea Magufuli akashinda!.
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Pasco
SASA HIVI HATUISHI HIVYO......2025 ni zamu ya wenzetu wa bakwata
Mi mwenyewe nitampigia.Kuna jamaa nimekutana nae ambaye ni mpiga picha binafsi wa bwana Makonda ndio ameninyetisha kuwa jamaa anataka nayeye 2025 agombee urais,anachokifanya sasa ni kusaka sifa kuwapiku kina Makamba na Mwigulu.
Analengo 2020 agombee ubunge ameambiwa atapewa uwaziri wa TAMISEMI.