Tetesi: Makonda anajenga mtandao kujiandaa na urais 2025

Mwenye albamu ya Mr Ebbo naomba anitumie natafuta wimbo mmoja hivi unaenda kwa jina la "BANGI BWANA"
 
Na anaandaliwa kuwa mbunge wa jimbo la Nyamagana jiji mwanza
 
Mungu amrehemu
 
Yeye ajenge mtandao tu tena asisahau kujenga na minara ya kutosha lkn asisahau kesi zinzomkabiri. Kama angekuwa mzima kichwani angemshukuru Mungu kufikia hatua aliyonayo maana naona kutoka kwenye nafasi aliyonayo sasa hawezi kupanda hata hatua moja zaidi ya kuporomoko. Wakati utatuambia
 
hhahahaha u made my day mkuu
 
hutuwezi kuchagua mtu mwenye tuhuma za kufoji vyeti. hata kama ni kweli hakuwahi kufoji vyeti. mgombea wa ccm hapaswi hata kutuhumiwa kwa kashfa kama hizo. hakuna mda wa kumsafisha. ccm wapo smart sana, asubiri uwaziri mkuu, kama atabahatika kwa nafasi hiyo.
 
Atakuwa bado "mtoto" .....2025 ndio kwanza 43yrs
 
Hafiki kote huko atakuwa ameporomoka big time kisiasa!!! Hata akibebwajee Hafiki kokote!!! 2025 nchi yaenda kwa upande wa pili mwambie awahi Bakwata wamtie maji......pia amalizie li jengo la 5Bil
 
Huo mtandao utakuwa ni wa vilaza kama yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…