MTANZANIA620
Senior Member
- Jun 20, 2023
- 105
- 116
Mpango wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Paul Christian Makonda kutumia watu mashuhuri katika tasnia za sanaa na michezo kama vile Didier Drogba, Rio Ferdinand, Rick Ross na Laporta Rais wa klabu ya FC Barcelona pamoja na wachezaji wake kuitembelea, kuizungumzia na kuibrand Tanzania una faida nyingi ikiwemo:-
I. Inawezesha Tanzania kuonekana kupitia majina yenye ushawishi mkubwa duniani hivyo kusaidia branding ya Nchi.
II. Inasaidia kuongeza hamasa ya watu kutembelea vivutio vya utalii Tanzania ikiwemo Zanzibar, Serengeti, Kilimanjaro na maeneo mengine.
III. Inasaidia kujenga mahusiano ya kimataifa kupitia michezo na sanaa badala ya diplomasia rasmi pekee.
IV. Umaarufu wa wageni hao unaweza kuongeza mwonekano wa Tanzania kwa wawekezaji na makampuni ya kimataifa hivyo inasaidia kuvutia wawekezaji.
V. Inafungua milango ya ushirikiano, akademi, sponsorships, matukio na fursa kwa vijana hivyo kusaidia kukuza maendeleo ya michezo na sanaa yetu.
VI. Inaongeza thamani ya Tanzania kama destination si tu kwa watalii, bali pia kwa matukio ya kimataifa, burudani, michezo na biashara.
VII. Maudhui kutoka kwa watu hao yanaweza kufikia mamilioni ya wafuatiliaji ambao kampeni za kawaida za utalii zingehitaji gharama kubwa kuwafikia.
VIII. Wageni mashuhuri wakitembelea, kuishi na kuzungumzia Tanzania, wanaweza kuifanya nchi iwe sehemu inayotamaniwa na hadhira ya kimataifa inafikisha 'Tanzania Experience' duniani.
Mpango huu unatumia nguvu ya watu mashuhuri 'celebrities' soka na burudani kuipeleka Tanzania duniani na kuinufaisha kiuchumi kupitia biashara, uwekezaji na utalii
GULATONE MASIGA
0768497974
24/09/2026