Angalikuwa katoa muislam mpangalipiga kelele. Yule wa chadema mpaka chadema wenyewe wamekuja juu.Nimeona clip ya Mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa akisema hajali kusemwa vyovyote na wanasiasa wengine kwa sababu pale msalabani Yesu alikufa akamwaga damu yake na akamtakasa, kwamba akisemwa anaitazama damu ya Yesu iliyomwagika!
Kila alitajaye jina la bwana na aache uovu.Nimeona clip ya Mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa akisema hajali kusemwa vyovyote na wanasiasa wengine kwa sababu pale msalabani Yesu alikufa akamwaga damu yake na akamtakasa, kwamba akisemwa anaitazama damu ya Yesu iliyomwagika!
Damu zisizo na hatia alizoshiriki kumwaga zitamsumbua maisha yake yote yeye na kizazi chake.Nimeona clip ya Mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa akisema hajali kusemwa vyovyote na wanasiasa wengine kwa sababu pale msalabani Yesu alikufa akamwaga damu yake na akamtakasa, kwamba akisemwa anaitazama damu ya Yesu iliyomwagika!
Ni kweli huyu ni mpakwa mafuta wa Bwana.Nimeona clip ya Mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa akisema hajali kusemwa vyovyote na wanasiasa wengine kwa sababu pale msalabani Yesu alikufa akamwaga damu yake na akamtakasa, kwamba akisemwa anaitazama damu ya Yesu iliyomwagika!
We jamaa ni mkabila sana,kisa ni ngosha mwenzako πππNi kweli huyu ni mpakwa mafuta wa Bwana.
p
Kama kuna ushahidi wa yeye kuhusika kwenye mauaji na utekaji achukuliwe hatua za kisheria kwani hakuna aliye juu ya Sheria.Huyo DAUDI ALBERT BASHITE bingwa wa unafiki, atuonyeshe baba yakemzazi aitwaye Christopher Makonda au ndugu yake yeyote wa kuzaliwa na baba yake mzazi.
Hili jambazi lililofoji jina lake kazi yake kufanya kazi ya kuua wapinzani
Sisi Wasukuma sio miongoni mwa makabila yenye ukabila mbaya kosa letu ni moja tuu, ni wakweli daima. Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!We jamaa ni mkabila sana,kisa ni ngosha mwenzako πππ
Mumeo Makonda ni muuaji .Hiyo ni ishara kuwa anateseka moyoni .Damu za watu zina mliliaAmina π€²π½π€²π½π€²π½