Makonda anazungumzia Yesu kufa msalabani na damu yake kumtakasa katika mkutano wa Mchengerwa!

Makonda anazungumzia Yesu kufa msalabani na damu yake kumtakasa katika mkutano wa Mchengerwa!

Ni kweli huyu ni mpakwa mafuta wa Bwana.
p
Mkuu hivi ni lini huo ushahidi wa kweli ambao Tundu Lissu na wengine wengi kila uchao wanadai huyu kijana ni muuaji watautumia kumtia hatiani?

Hebu nisaidie fikra,maana sasa ni kero, mbaya zaidi MAKONDA anashutumiwa nyuma ya keyboard
 
Kama kuna ushahidi wa yeye kuhusika kwenye mauaji na utekaji achukuliwe hatua za kisheria kwani hakuna aliye juu Sheria.
Nani anayeutaka huo ushahidi ikiwa wenye mamlaka ya kumshitaki ndio watuhumiwa wakuu wanayemtuma ALBERT BASHITE
 
Anaanza kujishtukia..
Atasema mengi
Ni swala muda..
Maajabu ni kwamba maneno hayo yanaweza kuwa na maana kubwa sana kwa baadhi ya watu.

Hizi siasa za kilaghai zinazoa sana akili za watu wengi wanaopenda kuangalia kila jambo katika mlengo mmoja tu!

Tayari hapo kisha mtumia "Yesu" kisiasa; na anategemea manufaa ya kisiasa pia kwa juhudi zake hizo. Hayo ya huko rohoni hayana maana yoyote kwake kwa wakati huu.
 
Toa proof ya haya unenayo,ukishindwa jiite mbwa koko
Makonda akasome Hili andiko kutoka Galatia 6:7 "Msidanganyike Ndugu zangu, Mungu adhihakiwi kwa kuwa chochote ambandacho mtu ndicho atakachovuna" Zingatia neno chochote
 
Nimeona clip ya Mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa akisema hajali kusemwa vyovyote na wanasiasa wengine kwa sababu pale msalabani Yesu alikufa akamwaga damu yake na akamtakasa, kwamba akisemwa anaitazama damu ya Yesu iliyomwagika!
Ila Makonda Debe tupu.
 
Anaweweseka na damu za watu aliowaua ndiyo maana haachi kutaja damu
 
Mumeo Makonda ni muuaji .Hiyo ni ishara kuwa anateseka moyoni .Damu za watu zina mlilia

Ulitufungisha ndoto ya ndotoni mwako au ya kwenye ubongo wakwo lini?

Jione ulivyo na hasira halafu unaandika pumba.. Nikucheke😅😅😅
 
Back
Top Bottom