Makonda angeanza na Joti

Makonda angeanza na Joti

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
3,732
Reaction score
6,561
Siyo kwamba anakosekana mwanamke wa kuigiza kama mwanamke..... TABIA YA JOTI KUVAA UHALISIA WA MWANAMKE UNASABABISHA WATOTO WA KIUME KUJIFUNZA UPUUZI.....

Naandika ujumbe huu KWA MAKONDA AMBAYE AMEMLALAMIKIA BWANA PIERE LIKWIDI.....

Joti anasababisha vijana wa kiume wajifunze itikadi za kike na huo siyo ustaarabu wa wanaume wa Tanzania. Binafsi namchukia sana joti kwa tabia hii ya kuhamasisha "USHOGA"
 
Bashite yeye mbona yeye ni shoga hatusemi?tena choko haswa hivi yule kijana aliyekua kampangia appartiment kule masaki ilikua ni kwa kazi gani?mnatufanya hatujui?Bifu lote la boss wa redio zile bwana watezoo ni dushe tu???kumbe alitaka dushe la bwana huyo wa media

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😳😳😳😳😳😳
 
Siyo kwamba anakosekana mwanamke wa kuigiza kama mwanamke..... TABIA YA JOTI KUVAA UHALISIA WA MWANAMKE UNASABABISHA WATOTO WA KIUME KUJIFUNZA UPUUZI.....

Naandika ujumbe huu KWA MAKONDA AMBAYE AMEMLALAMIKIA BWANA PIERE LIKWIDI.....

Joti anasababisha vijana wa kiume wajifunze itikadi za kike na huo siyo ustaarabu wa wanaume wa Tanzania. Binafsi namchukia sana joti kwa tabia hii ya kuhamasisha "USHOGA"
Daah !!kama umenizingua vile mana namimi ni shabiki namba 1 wa joti !!
 
Joti huwa namkubali lakini zile pigo za kuvaa kama mwanamke zinanikera mpaka basi..
Hadi sasa hivi huwa siangalii tena zile video zake..
Jamaa abadirike mbona ana sura nyingi za kuigizia na anachekesha tu..kuna ile ya uzee ,ile ya kizenji n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kwamba anakosekana mwanamke wa kuigiza kama mwanamke..... TABIA YA JOTI KUVAA UHALISIA WA MWANAMKE UNASABABISHA WATOTO WA KIUME KUJIFUNZA UPUUZI.....

Naandika ujumbe huu KWA MAKONDA AMBAYE AMEMLALAMIKIA BWANA PIERE LIKWIDI.....

Joti anasababisha vijana wa kiume wajifunze itikadi za kike na huo siyo ustaarabu wa wanaume wa Tanzania. Binafsi namchukia sana joti kwa tabia hii ya kuhamasisha "USHOGA"
Huyu mupe yure muruke

Jr[emoji769]
 
Makonda ni mrekebisha tabia
 
Back
Top Bottom