Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
Siyo kwamba anakosekana mwanamke wa kuigiza kama mwanamke..... TABIA YA JOTI KUVAA UHALISIA WA MWANAMKE UNASABABISHA WATOTO WA KIUME KUJIFUNZA UPUUZI.....
Naandika ujumbe huu KWA MAKONDA AMBAYE AMEMLALAMIKIA BWANA PIERE LIKWIDI.....
Joti anasababisha vijana wa kiume wajifunze itikadi za kike na huo siyo ustaarabu wa wanaume wa Tanzania. Binafsi namchukia sana joti kwa tabia hii ya kuhamasisha "USHOGA"