Makonda aomba kupangiwa kazi nyingine Januari 2025

Mshahara wa RC ni million 4, toa matumizi Kwa mwezi assume anatumia Milioni 2.5,

Ametoa wapi pesa ya kujenga ghorofa kama Si wizi!!

Endelea kudanganywa!!
Kwani RC hana posho za safari na zingine nyingi? Kama mtu wa kawaida tena CHAWA tu kama Mwijaku anajenga ghorofa sembuse RC?
 
Kwani RC hana posho za safari na zingine nyingi? Kama mtu wa kawaida tena CHAWA tu kama Mwijaku anajenga ghorofa sembuse RC?
Mwijaku Ile ni nyumba ya kuishi, tena Si yake.

RC ana ghorofa katika Moja ya majiji, la biashara.

Unalijua Hilo?
 
Naona anaanza kutamani ile kazi ya enzi ya kupoteza raia na waandishi wa habari.
 
wakuu sijaelewa kabisa yaan Mkoa unatengewa b zaidi ya 20 halaf wenyew unatumia moja tuu kwa mwaka wa fedha ama!?
Aisee pamoja na changamoto zoote hizi daah tunasafar ndefu sana.Na hapo ni Arusha tu je kwenye hii mikoa mingine hali ipoje?Najiuliza hv Majaliwa kazi yake kubwa ni KUPAKA PIKO tu ama n nini?Hii aibu sana yaan
 

ubunge huo
 
Makonda ananamna fulani ya uongozi ambao hakuna mahali atakaa asitoshe... na hili wanalo sana watu wenye mchanganyiko wa haiba ya sanguine na colerick hawa watu huwa wanazalisha tabia ya uthubutu wa ajabu mnoo! Wapo wachache sana duniani na Bahati mbaya sana huwa wakati mwingine hawadumu sana!


sasa bila kuathiri makusudi ya ajenda makonda anazo hizo haiba kinacho niogopesha tu ni kwamba anajitengenezea maadui wachache ambao wananguvu kifedha na kimamlaka na pale ambapo akiingia katika 18 zao inaweza kumuwia ngumu kutambaa kwenye tope zito bila kuzama!


Rai yangu kwa makonda atende kwa kadri ambavyo haki itapatikana kwa kila mmoja ila asisahau katika kutenda haki kwake kunawatu hawafurahishwi...



Natamani kumwambia jambo ila kwa sasa tukubali kuwa Arusha ndyo wananufaika zaidi na makonda kuliko makonda atakavyo nufaika na Arusha, mengine tumwaachie Mungu wetu


Mr bon
 
Umechelewa sana huyu ni kiongozi ambaye anajua mpaka anapitiliza
 
Shida ni mfumo wa ajira jwabwatumishi
 
Si alisema akiwa mkuu wa Mkoa hata Kwa siku inatosha, anaomba miezi 6 ya nini?
Soma habari vizuri, kama hujaelewa kwanini, utakuwa ulienda shule kusomea ujinga.
 
Hizi ishu za kurudisha pesa wanapenda sana watumishi sijui ni kwanini aisee.
 
Nashauri apewe uwaziri wa Tamisemi, maana madudu mengi au yote yapo Tamisemi kwa miaka mingi sana sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…