sawa ikiwa atachukuliwa hatua, ila na huyo ofisa mwanamke ajue namna ya kujibu anapohojiwa na mabosi wake asijibu kwa kiburi atakutana na maneno ya shombo kama yalivyomkuta. Makonda naye afahamu namna ya kuchagua maneno anapomhoji ofisa anapokuwa ameghafilika na kuudhiwaKitendo cha mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda kumdhalilisha afisa wa serikali mwanamke huko Longido mkoani Arusha hakikubaliki.
Makonda akimhoji mtumishi huyo alisikika kumwambia mbele ya hadhara kuwa asiongee kama vile anaposwa na kwamba yeye (Makonda) ana mke mzuri nyumbani.
Kitendo hicho kilionekana kumuudhi mama huyo na kuibua minong’ono katika mkutano huo.
Tayari shirika la kutetea haki za binadamu wamelaani matamshi ya Makonda.
Itakuwa ajabu kama rais Samia hatamchukulia hatua mkuu wa mkoa Paul Makonda kwa Kitendo hiki kinachoonesha udhalilishaji dhidi ya wanawake.
Basi dunia inaenda speed. Mwanamke kuposwa ni udhalilishaji, au kumwambia nina mke nyumbani..Kitendo cha mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda kumdhalilisha afisa wa serikali mwanamke huko Longido mkoani Arusha hakikubaliki.
Makonda akimhoji mtumishi huyo alisikika kumwambia mbele ya hadhara kuwa asiongee kama vile anaposwa na kwamba yeye (Makonda) ana mke mzuri nyumbani.
Kitendo hicho kilionekana kumuudhi mama huyo na kuibua minong’ono katika mkutano huo.
Tayari shirika la kutetea haki za binadamu wamelaani matamshi ya Makonda.
Itakuwa ajabu kama rais Samia hatamchukulia hatua mkuu wa mkoa Paul Makonda kwa Kitendo hiki kinachoonesha udhalilishaji dhidi ya wanawake.
Nyie masalia ya Magufuli hamna nafasi ya kufanya ujinga wenu nchi hii kipindi chenu kimepitaIfike mahala tuache kupitishia chuki zetu kwenye mgongo wa haki za binadam au haki za wanawake, wanawqke nao akijua yeye ni mtumishi wa uma ahakikishe anafanya kazi zake kwa weledi bila kusubiri huruma za wapuuzi kama wewe mtoa mada.
Wewe Ndo hukamuelewa mtoa mada,shida ilikuwa wapi Kama angemwacha huyo mtumishi akamaliza kueleza kuhusu ujenzi na pia Kama Kuna matatizo hachukuliwe hatua za kisheria na kuwajibishwa kwa kanuni za utumishi,kwa Nini amwongelee vile mbele ya kadamunasi,fikilia Kama angekuwa mama au Dada yako ungejisikiaje?Ifike mahala tuache kupitishia chuki zetu kwenye mgongo wa haki za binadam au haki za wanawake, wanawqke nao akijua yeye ni mtumishi wa uma ahakikishe anafanya kazi zake kwa weledi bila kusubiri huruma za wapuuzi kama wewe mtoa mada.
Kitendo cha mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda kumdhalilisha afisa wa serikali mwanamke huko Longido mkoani Arusha hakikubaliki.
Makonda akimhoji mtumishi huyo alisikika kumwambia mbele ya hadhara kuwa asiongee kama vile anaposwa na kwamba yeye (Makonda) ana mke mzuri nyumbani.
Kitendo hicho kilionekana kumuudhi mama huyo na kuibua minong’ono katika mkutano huo.
Tayari shirika la kutetea haki za binadamu wamelaani matamshi ya Makonda.
Itakuwa ajabu kama rais Samia hatamchukulia hatua mkuu wa mkoa Paul Makonda kwa Kitendo hiki kinachoonesha udhalilishaji dhidi ya wanawake.
Unakumbuka chanzo cha Maghufuri kutaka Kumvua Nyota zote Afisa wa Magereza kule Mwanza...!?M
Wewe Ndo hukamuelewa mtoa mada,shida ilikuwa wapi Kama angemwacha huyo mtumishi akamaliza kueleza kuhusu ujenzi na pia Kama Kuna matatizo hachukuliwe hatua za kisheria na kuwajibishwa kwa kanuni za utumishi,kwa Nini amwongelee vile mbele ya kadamunasi,fikilia Kama angekuwa mama au Dada yako ungejisikiaje?