Makonda aondolewe kwa udhalilishaji wa wanawake. Amewadhalilisha wanawake na rais wetu pia

Unakumbuka chanzo cha Maghufuri kutaka Kumvua Nyota zote Afisa wa Magereza kule Mwanza...!?

Ni sababu zile zile zilizomfanya Makonda aseme aliyosema....!

Kuna namna yule Dada alikua anaongea utadhani hajui kuwa anaongea na Boss wake, anajibu kishkaji sana.
Kaka nielewe Kuna lugha ambazo kiongozi anatakiwa atumie,kwangu Kama kiongozi amepotoka sana
 
Alivyokuwa akimjibu bosi wake alivyojibiwa ni HAKI yake,wanamajibu mabovu wakijibiwa ipasavyo kimbilio khaki za binadamu....
 
Kitendo cha mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda kumdhalilisha afisa wa serikali mwanamke huko Longido mkoani Arusha hakikubaliki.

Makonda akimhoji mtumishi huyo alisikika kumwambia mbele ya hadhara kuwa asiongee kama vile anaposwa na kwamba yeye (Makonda) ana mke mzuri nyumbani.

Kitendo hicho kilionekana kumuudhi mama huyo na kuibua minong’ono katika mkutano huo.

Tayari shirika la kutetea haki za binadamu wamelaani matamshi ya Makonda.

Itakuwa ajabu kama rais Samia hatamchukulia hatua mkuu wa mkoa Paul Makonda kwa Kitendo hiki kinachoonesha udhalilishaji dhidi ya wanawake.
makonda is a rubbish.

OVER
 
Kuna watu wa namna hio ambao ili atoe kitu mdomoni lazima atukane au atumie lugha harsh
 
Kitendo cha mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda kumdhalilisha afisa wa serikali mwanamke huko Longido mkoani Arusha hakikubaliki.

Makonda akimhoji mtumishi huyo alisikika kumwambia mbele ya hadhara kuwa asiongee kama vile anaposwa na kwamba yeye (Makonda) ana mke mzuri nyumbani.

Kitendo hicho kilionekana kumuudhi mama huyo na kuibua minong’ono katika mkutano huo.

Tayari shirika la kutetea haki za binadamu wamelaani matamshi ya Makonda.

Itakuwa ajabu kama rais Samia hatamchukulia hatua mkuu wa mkoa Paul Makonda kwa Kitendo hiki kinachoonesha udhalilishaji dhidi ya wanawake.
 
Acheni kulea uzembe kwa kujificha kwenye udhalilishaji.
 
Makonda hana kosa.kuposwa siyo kosa.kama mmechukia nendeni mahakamani au mnywe sumu.
 
Kitendo cha mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda kumdhalilisha afisa wa serikali mwanamke huko Longido mkoani Arusha hakikubaliki.

Makonda akimhoji mtumishi huyo alisikika kumwambia mbele ya hadhara kuwa asiongee kama vile anaposwa na kwamba yeye (Makonda) ana mke mzuri nyumbani.

Kitendo hicho kilionekana kumuudhi mama huyo na kuibua minong’ono katika mkutano huo.

Tayari shirika la kutetea haki za binadamu wamelaani matamshi ya Makonda.

Itakuwa ajabu kama rais Samia hatamchukulia hatua mkuu wa mkoa Paul Makonda kwa Kitendo hiki kinachoonesha udhalilishaji dhidi ya wanawake.
Wapumbavu mmeanza tena
 
Back
Top Bottom