Nduhu tabu
Member
- Jul 21, 2017
- 90
- 96
hayanihusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanabodi,
Katika mambo ambayo nimefurahishwa nayo ni kitendo cha kiuungwana kwa RC Makonda kwenda Clouds Media na kutoa pole. Pamoja na msuguano wake na Ruge, tofauti hiyo leo haijajionesha wazi. Nampongeza sana Ruge, Kijana huyu anaonekana kuwa na busara sana katika jambo hili ambalo ni gumu kwake na timu yake.
Mara zote, hata kwetu kijijini,matukio ya huzuni kama misiba ndio huwaunganisha watu zaidi kuliko kuwagawa. RC Makonda wakati anaondoka amempa ahadi Boss Kusaga kuwa amewaongezea lisaa limoja la Fiesta. KITENDO HICHO NI CHA KIUUNGWANA hasa katika kuwapa ari vijana katika kupambana na umaskini na kukuza vipaji. Hawahawa ndio watatusaidia ikifika 2020 wakati wa kampeni zetu nchi nzima bila kujali itikadi za vyama. Tuwapendeke, tuwasaidie.
Achilia mbali positive impact za FIESTA, ni kweli kuna kelele na mambo mengine ya kihalifu. Ninaamini kuwa likipangwa vizuri jambo hili, naamini RC Makonda ataruhusu jambo hili la Fiesta lifanyike hadi asubuhi. Ombi Maalum kwa RC Makonda, waruhusu Clouds wapige Fiesta kama zamani. Wasaidie ili angalau vijana watakaopanda jukwaani wapate kipato chao wakatunze familia zao. Wewe ni kama MZAZI hapa Dar es Salaam. Licha ya kuwa na umri mdogo ila una nguvu katika mfumo wa utawala. Ukizingatia kuwa bado una safari ndefu katika maisha na vijana wenzako hao, hebu wasaidie kutimiza ndoto zao kama ulivyosaidiwa wewe ona hapa chini ulivyoelezea...
Fanya kama ulivyofanya kipindi cha nyuma. Ondoa tofauti zilizopo kati yako na wao. Dereva naamini anasumbuka abiria wanapomsumbua anapoendesha gari lake hasa katika kipindi hiki ambacho vuguvugu la kupambana na 'mafisadi' linaendelea.Nimekusikiliza hapa ulivyotimiza ndoto zako. Hebu wasaidie hao jamaa. Mungu naamini atashusha baraka zake kwako. Kawaombee kibali hata kwa Mh. Rais, naamini anavyowapenda, atawaruhusu kwa siku hiyo moja kufanya hiyo event.
Mungu ibariki Tanzania,
Nelson,
Dar es Salaam
22/11/2017
Wakuu wa mikoa wengine wote inaonesha walivunja sheria😀😀😀😀😀Wao naamini waliangalia MASLAHI MAPANA YA WANANCHI NA KUUNGA JUHUDI ZA MHESHIMIWA MAGUFULI katika kuwasaidia wananchi, hasa wasanii.Huu ndio upuuzi wetu watanzania, hivi pole ya nini wakati clouds wana BIMA, madhara yote yaliyotokea yatalipwa na BIMA, Haya yale mangedere yaliyokua yanasema fiesta kuisha saa 6 ni kufuata sheria, waje leo wanioneshe hiyo sheria ya mkuu wa mkoa kuongeza lisaa limoja na sio zaidi?? na mje mniambie kama kuvuka saa 6 hadi majogoo ni uvunjifu wa sheria, wale wakuu wa mikoa wengine walioruhusu wamefunguliwa mashtaka kwenye mahakama ipi??
M/kiti wa kamati ya ulinzi na usalama ndio anaweza kubadili sheria?Kwasababu yeye ni mwenykiti wa kamati ya ulinzi na usallama
Inanikumbusha zamani sana kijijini kama miaka 40 iliyopita. Unamtongoza dem anakusumbuuuuuua, unaanza kwenda na maelekezo yake weee ukifanikiwa tu basi unaanza na wewe kuleta zako.Makonda ana jeuri khaa si angewaruhusu tu, yaan hapo kwaonyesha tu yeye ni nani akiamua anaweza kuwaruhusu wakakesha hadi asubuhi.
Huyo ndio mkuu wa ulinzi na usalama wa mkoa wakeVery shameful the law of Tanzania in the hand of his Excellence Paul Makonda the head of Mkoa wa Dar
Masuala ya miziki na Disco inakuwa chini ya Waziri wa Utamaduni na Michezo sasa sijui mkuu wa Mkoa anajihusisha vipi
Unazungumzia sheria ipi,kumbuka kuna laws na bylawsM/kiti wa kamati ya ulinzi na usalama ndio anaweza kubadili sheria?
We mwenyewe umeshasema ni mkuu wa mkoa afu unamdharau,jambo liko kwenye mkoa anaoongoza unaanzaje kumbeza ilihali yeye ndo mkuu na ndiyo mwenyeketi wa usalama mkoa huoVery shameful the law of Tanzania in the hand of his Excellence Paul Makonda the head of Mkoa wa Dar
Masuala ya miziki na Disco inakuwa chini ya Waziri wa Utamaduni na Michezo sasa sijui mkuu wa Mkoa anajihusisha vipi
Narudia, MAKONDA WARUHUSU CLOUDS WAPIGE FIESTA HADI ASUBUHI KAMA ZAMANI. SASAHIVI WAACHE TU KWANZA WALIPE FAINI ZAO USIWAPE MAUMIVU MARA MBILIMBILI. HAWA VIJANA WANA MSAADA SANA PALE KWA MKULU MAANA HUWA ANAWAPIGIA NA KUWAPONGEZA KWA KAZI NZURI. USILIPE UBAYA KWA UBAYA. LIPA UBAYA KWA WEMA.Sheria inasema mwisho saa sita lakini kwa kibali maalum muda waweza kuongezwa.
Poor leadershipVery shameful the law of Tanzania in the hand of his Excellence Paul Makonda the head of Mkoa wa Dar
Masuala ya miziki na Disco inakuwa chini ya Waziri wa Utamaduni na Michezo sasa sijui mkuu wa Mkoa anajihusisha vipi