Makonda aongeza saa moja katika usiku wa tigo fiesta Dar

Makonda aongeza saa moja katika usiku wa tigo fiesta Dar

ushamba huo,usikejeli maandiko matakatifu
Tunapaswa kuyaishi maandiko matakatifu. Ndio maana tumeandikiwa yatuongoze. Hata viongozi wanapoapa wanaapa kwa kutumia maandiko matakatifu ili wayatumie kuwaongoza katika maisha yako. Kutumia gari au simu uliyopewa sio dhambi. Sawa na kutumia maandiko tuliyopewa...
 
Mnaacha kujadili mambo ya maana mnajadili Fiesta!!! Kweli hili Taifa bado lina safari ndefu sana.
 
Kama sheria inataka music upigwe mwisho saa 6 kamili usiku, huyu bwana anatoa wapi mamlaka ya kuongeza saa moja? "Upsurging constitutional powers...."
Alipozuia pia mlipiga kelele sana humu Na kumlaani
 
Dah!! Madaraka namuona Kusaga na pesa zake na ushawishi wake kwa jamii kawa mdogo kama priton kwa Makonda.

Ila mkuu wa mkoa usiwakazie sana vijana wenzako hao.
 
Clouds wasikubali mtego wa rc wa kujifanya ni mwema kwao. Wamalize shughuli yao kabla ya saa 6 ila waanze mapema.
 
Ujinga mwingine wa maliyamungu ...hakika vitabu vitabaki na rekodi nzuri sana!
 
Mwana wa dikteta...unatengeneza tatizo halafu unawahi kwenda kutoa pole..

Hiki ndo alichokifanya Hitler mwaka 1932...alichoma jengo la Bunge la nchi hiyo halafu akawahi kwenda kutoa pole, akatuhumu watu wengine, akapata sababu ya kutawala kifashisti, na kuwaua Wayahudi
....sawa na yule uchwara aliyebariki wakora kumuwinda na kumshambulia lissu kwa risasi na kisha yeye kutumia twitter kujifanya "kusikitishwa" na hilo shambulio na hapo hapo kutoa agizo feki na la kinafiki kwa wakora hao hao kuwatafuta wahalifu na kuwafikisha mbele ya sheria...

sinema tupu!
 
Kwa muda anaoweka fiesta kuisha labda anataka kuwapa nafasi wachawi muda wa kufanya mambo yao
 
Kumbe na kwenye huku Fiesta kuna kampeni zinaendelea, naona wameingiza mambo ya wapiga kura 2020 watatupigia kwenye chama chetu. Hakika KATAA KUWA KAA
 
HIYO SIKU, CLUB ZOTE ZITAPGA HADI SAA 7 MWISHO AU FIESTA PEKEE LAKIN ZNGNE ZNAKESHA? NAOMBA JIBU NA IMETUMIKA SHERIA IPI KUONGEZA NA KUPUNGUZA LISAA? MIMI NASHAURI WAKESHE TU.
 
Back
Top Bottom