Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Tunapaswa kuyaishi maandiko matakatifu. Ndio maana tumeandikiwa yatuongoze. Hata viongozi wanapoapa wanaapa kwa kutumia maandiko matakatifu ili wayatumie kuwaongoza katika maisha yako. Kutumia gari au simu uliyopewa sio dhambi. Sawa na kutumia maandiko tuliyopewa...ushamba huo,usikejeli maandiko matakatifu
Alipozuia pia mlipiga kelele sana humu Na kumlaaniKama sheria inataka music upigwe mwisho saa 6 kamili usiku, huyu bwana anatoa wapi mamlaka ya kuongeza saa moja? "Upsurging constitutional powers...."
Kabisa mkuuMpango maalumu....ila sisi hatujui tyu
....sawa na yule uchwara aliyebariki wakora kumuwinda na kumshambulia lissu kwa risasi na kisha yeye kutumia twitter kujifanya "kusikitishwa" na hilo shambulio na hapo hapo kutoa agizo feki na la kinafiki kwa wakora hao hao kuwatafuta wahalifu na kuwafikisha mbele ya sheria...Mwana wa dikteta...unatengeneza tatizo halafu unawahi kwenda kutoa pole..
Hiki ndo alichokifanya Hitler mwaka 1932...alichoma jengo la Bunge la nchi hiyo halafu akawahi kwenda kutoa pole, akatuhumu watu wengine, akapata sababu ya kutawala kifashisti, na kuwaua Wayahudi
Simalenga anajichekeshaaaa
hawa vilaza hawajadili kushuka kwa uchumi wao ni Fiesta