Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Kabisa mkuu, wapi Sadam Hussein, wapi Gadaffi, Wapi Sitta,wapi Ditopile,.....Yote yatapita lakini neno litasimama ,Wapi Hitler ? Wapi Idd Amin Dada? Wapi Kuku wazabanga?
Hahah haha jipeni Moyo tu,Maisha hayasimami,yanaendelea hata ww kama kufa utakufa na hujui kwa kifo gani so kila kitu na wakati wakeKabisa mkuu, wapi Sadam Hussein, wapi Gadaffi, Wapi Sitta,wapi Ditopile,.....
Kweli huyu ndo ..... wa dar.Hii ni baada ya kutembelea kituo cha utangazaji cha clouds media na kuwapa pole kwa tukio lililowapata jana, kabla ya kuondoka akawaambia kua ameongeza saa moja zaidi hivyo badala ya saa sita mwisho itakua saa saba
Anaelewa basi hahaHizi ni bylaws ambazo ziko chini ya mkuu wa mkoa. So Yes, anaweza kuzi amend kwa 'hati ya dharula'...
Huyu mtoto atakufa kifo kibaya sana kisiasa, hapo lengo lake ni kutuonyesha to how powerful he is
Hiyo ni ku divert attention na kutafuta cheap popularity kupitia press.Naona anang'ata na kupuliza kiutu uzima
....Unaelewa maana ya bylaws kweli wewe? Hana uwezo wa kuvunja hiyo sheria but wanakanyaga sheria kama anavyofanya bosi wake.Hizi ni bylaws ambazo ziko chini ya mkuu wa mkoa. So Yes, anaweza kuzi amend kwa 'hati ya dharula'...
.....Kwa nini hampendi kutumia akili zenu lakini?Kwasababu yeye ni mwenykiti wa kamati ya ulinzi na usallama
Wapi akili haijatumika hapo au unafikiri nimekatwa shingo,wewe ndiyo hujaelewa nilichokiandika.....Kwa nini hampendi kutumia akili zenu lakini?
Hicho kifungu cha Sheria ukipatiwa na mimi nakihitaji Mkuu.HIYO SIKU, CLUB ZOTE ZITAPGA HADI SAA 7 MWISHO AU FIESTA PEKEE LAKIN ZNGNE ZNAKESHA? NAOMBA JIBU NA IMETUMIKA SHERIA IPI KUONGEZA NA KUPUNGUZA LISAA? MIMI NASHAURI WAKESHE TU.