Makonda, Arusha hatuhitaji sifa, suala la wewe kukabidhiwa ofisi sisi halituhusu

Makonda, Arusha hatuhitaji sifa, suala la wewe kukabidhiwa ofisi sisi halituhusu

Son of Israel from Africa

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
2,006
Reaction score
2,963
Habari za jioni ndugu wanajukwaa.

Naripoti kutokea huku Arusha. Naomba nikupe Taarifa ndugu Makonda sisi watu wa Arusha tuko Busy na utafutaji. Acha sifaa za kijingaa. Nimeona tangazo la makabidhianobya ofisi kati yako na Ndugu Mhe sana Mongela.

Swali wewe kukabidhiwa ofisi sisi linatuhusu nini hadi utuitee, Mbona Matured People.kama Senior Makalla amekabidhi ofisi kimyakimya. Na wengine wengi

Huuu utamaduni gani wa kijinga unatuletaa. Kama unakuna arusha kifanya kazi fanya kazi iliyokuletaa achana na sisi aseee. Eti kukupokeaa wewe nanii ,wewe ndio mkuu wa kwanza kuwa Arusha.

Acha hizo swanga asee. Nakuhakikishia watakuja waswahili Bondeni ,Ngarenaro .

Fanya kazi kwa Heshima kama Mh Sana JOHN MONGELA Uondoke kwa heshima
 
Nabeti , Makonda ataipelekesha Arusha sana. Kazi kwao watendaji wa serikali na anavyopenda sifa.

Mkeka ukichanika basi.
 
Nyie ni wajinga wajinga kama yule kijana wakuitwa Dangote aliwasumbua mtaweza kumpiga mikwara makonda nyie? Yani kakijana kanatembea na bisobisi kaliwasumbua wote mkataka kuhama mji ndio mlete mikwara mbuzi na mbege mbele ya makonda?

Nyie mnachoweza ni kuvuta bangi na kunywa gongo…mshukuru Makonda anakuja kuwatokomeza hao wahuni mpate amani!
 
Habari za jioni ndugu wanajukwaa.

Naripoti kutokea huku Arusha. Naomba nikupe Taarifa ndugu Makonda sisi watu wa Arusha tuko Busy na utafutaji. Acha sifaa za kijingaa. Nimeona tangazo la makabidhianobya ofisi kati yako na Ndugu Mhe sana Mongela.

Swali wewe kukabidhiwa ofisi sisi linatuhusu nini hadi utuitee, Mbona Matured People.kama Senior Makalla amekabidhi ofisi kimyakimya. Na wengine wengi

Huuu utamaduni gani wa kijinga unatuletaa. Kama unakuna arusha kifanya kazi fanya kazi iliyokuletaa achana na sisi aseee. Eti kukupokeaa wewe nanii ,wewe ndio mkuu wa kwanza kuwa Arusha.

Acha hizo swanga asee. Nakuhakikishia watakuja waswahili Bondeni ,Ngarenaro .

Fanya kazi kwa Heshima kama Mh Sana JOHN MONGELA Uondoke kwa heshima
Sasa wewe ndiyo fala. Aliyekutaka utazame TV na kumuona Mh sana Makonda ni nani?
Na kama ukialikwa lazima uende au uropoke hapa?
Huu uufanyao ni ufala sanaa
 
Naona mibangi ya Arusha imekuchanganya na kuharibu kichwa chako. Sasa wewe vuta bangi zako za mwisho mwisho kabla mwamba hajakabidhiwa ofisi.maana baada ya hapo bangi yote itateketezwa na kukaushwa mitaani na ukipatikana unavuta bangi utakiona cha mtema kuni.
 
Nasikia ameanza na madiwani kutapeli fedha za miradi, wewe ni diwani boss?
 
Anapenda sana attention huyu jamaa!...misifa ya dar hukohuko!..usituletee arusha
 
Back
Top Bottom