Pre GE2025 Makonda asema pesa za kujenga ofisi ya CHADEMA zimetolewa na Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Paul Makonda akiwa Himo Mkoani Kilimanjaro katika ziara yake kutembelea mikoa 20 nchini kufuatilia utekelezaji Ilani ya CCM amesema.

"Wenzetu wa CHADEMA wanasema eti maridhiano yaliyoletwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan eti hayana faida yoyote na kwamba Serikali kazi yao ni kuwakandamiza tu wananchi hapana."

Serikali ya Rais Samia ndio imetoa fedha za ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA ili waondokane na adha ya kupanga tangu chama hicho kianzishwe. Nimeamua kusema maana wenzetu CHADEMA kazi yao kueleza mabaya tu na sio mazuri kama haya ambayo Serikali inawafanyia wananchi.
 
Mwamba tuvushe aliwakwamisha wale wa Sauti ya watz walipotaka mikutano Yao
 
Tangu lini CCM wakawa na roho nzuri hivi?

Hivi kwa nini wanaccm wawape wanachadema fedha za wanachama wao? Chama kiliidhinisha chadema wapewe pesa?

Je chanzo ch fedha hizo ni kipi na ni sh ngapi?

Lengo la ccm kuipa chadema fedha ni lipi? (Rushwa?, Hongo kwa viongozi? Utakatishaji?)

Kama ni kweli alichosema Makonda basi kuna shida kubwa sana ccm na kuna hofu sana kuhusu kesho yao
 
Kijana ameongea kama layman, mkata mkaa bila ushahidi wowote.
 
Sasa tushike lipi mwana ccm
Mwenzie kindaki ndaki Pasco Mayalla anasema chadema wamepanga kote mikochen na ufipa na anajuwa wamiliki wa sehem zote had bei ya kodi

Mwenezi anasema jengo ni la chadema sema
Pesa katoa mama.. mna tumix mjue
 
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Paul Makonda akiwa Himo Mkoani Kilimanjaro katika ziara yake kutembelea mikoa 20 nchini kufuatilia utekelezaji Ilani ya CCM amesema.

"Wenzetu wa CHADEMA wanasema eti maridhiano yaliyoletwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan eti hayana faida yoyote na kwamba Serikali kazi yao ni kuwakandamiza tu wananchi hapana."

Serikali ya Rais Samia ndio imetoa fedha za ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA ili waondokane na adha ya kupanga tangu chama hicho kianzishwe. Nimeamua kusema maana wenzetu CHADEMA kazi yao kueleza mabaya tu na sio mazuri kama haya ambayo Serikali inawafanyia wananchi.
Kwani bange Bado unaendelea kuvuta tu?
 
Sasa tushike lipi mwana ccm
Mwenzie kindaki ndaki Pasco Mayalla anasema chadema wamepanga kote mikochen na ufipa na anajuwa wamiliki wa sehem zote had bei ya kodi

Mwenezi anasema jengo ni la chadema sema
Pesa katoa mama.. mna tumix mjue
Ukibishana na kichaa nawe utakuwa kichaa pia
 
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Paul Makonda akiwa Himo Mkoani Kilimanjaro katika ziara yake kutembelea mikoa 20 nchini kufuatilia utekelezaji Ilani ya CCM amesema.

"Wenzetu wa CHADEMA wanasema eti maridhiano yaliyoletwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan eti hayana faida yoyote na kwamba Serikali kazi yao ni kuwakandamiza tu wananchi hapana."

Serikali ya Rais Samia ndio imetoa fedha za ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA ili waondokane na adha ya kupanga tangu chama hicho kianzishwe. Nimeamua kusema maana wenzetu CHADEMA kazi yao kueleza mabaya tu na sio mazuri kama haya ambayo Serikali inawafanyia wananchi.
hili nalo litawatesaaaaaa 😀
 
Rais anafanya biashahara gani Hadi atoe hela? Hela zinatoka kwa mujibu wa Sheria na sio hisani.
 
Back
Top Bottom