Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Ukweli ni kwamba, kwa uongozi wa mh Mbowe, kwa nje ni mtu mwema na mpigania haki, kwa ndani anataka pesa za namna yoyote ili aishi vizuri
Umemuamini kabisa Katibu Mwenezi wenu nyamitako
Huyo si ni mjinga wa uvccmNdiyo maana tuna mkaguzi mkuu huwezi kusikiliza wajinga jinga ukaja hapa kama vile una hoja
Kwani bange Bado unaendelea kuvuta tu?Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Paul Makonda akiwa Himo Mkoani Kilimanjaro katika ziara yake kutembelea mikoa 20 nchini kufuatilia utekelezaji Ilani ya CCM amesema.
"Wenzetu wa CHADEMA wanasema eti maridhiano yaliyoletwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan eti hayana faida yoyote na kwamba Serikali kazi yao ni kuwakandamiza tu wananchi hapana."
Serikali ya Rais Samia ndio imetoa fedha za ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA ili waondokane na adha ya kupanga tangu chama hicho kianzishwe. Nimeamua kusema maana wenzetu CHADEMA kazi yao kueleza mabaya tu na sio mazuri kama haya ambayo Serikali inawafanyia wananchi.
Ukibishana na kichaa nawe utakuwa kichaa piaSasa tushike lipi mwana ccm
Mwenzie kindaki ndaki Pasco Mayalla anasema chadema wamepanga kote mikochen na ufipa na anajuwa wamiliki wa sehem zote had bei ya kodi
Mwenezi anasema jengo ni la chadema sema
Pesa katoa mama.. mna tumix mjue
Wamekosa pa kutokeaPropaganda machinery
Tena asiyejitambuaHuyo si ni mjinga wa uvccm
Ni wajinga tu tena wasiyo na aibuNdiyo maana tuna mkaguzi mkuu huwezi kusikiliza wajinga jinga ukaja hapa kama vile una hoja
hili nalo litawatesaaaaaa 😀Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Paul Makonda akiwa Himo Mkoani Kilimanjaro katika ziara yake kutembelea mikoa 20 nchini kufuatilia utekelezaji Ilani ya CCM amesema.
"Wenzetu wa CHADEMA wanasema eti maridhiano yaliyoletwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan eti hayana faida yoyote na kwamba Serikali kazi yao ni kuwakandamiza tu wananchi hapana."
Serikali ya Rais Samia ndio imetoa fedha za ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA ili waondokane na adha ya kupanga tangu chama hicho kianzishwe. Nimeamua kusema maana wenzetu CHADEMA kazi yao kueleza mabaya tu na sio mazuri kama haya ambayo Serikali inawafanyia wananchi.
Rais anafanya biashahara gani Hadi atoe hela? Hela zinatoka kwa mujibu wa Sheria na sio hisani.Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Paul Makonda akiwa Himo Mkoani Kilimanjaro katika ziara yake kutembelea mikoa 20 nchini kufuatilia utekelezaji Ilani ya CCM amesema.