Makonda asimulia Jenerali Mabeyo alivyomuokoa kwenye sakata la makontena

Sukuma gang katika ubora wake
 
makamu wa rais wakati huo aliwa waziri wa fedha aliamuru yapigwe mnada Je, nae ni kati ya waliokuwa wanamuonea wivu?
Au ndio tabia yake ya kudharau wasaidizi wa rais naye kuwa bingwa w kujikomba kw ofisi kuu?
Haiwezekani waziri kupewa taarifa za uongo zilizo sanifiwa vizuri akafanya maamuzi yasiyo sahihi kutokana na uongo huo aliopewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…