tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Makonda yupo sahihi 100%πKauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh.Paul Makonda baada ya timu vijana ya Serengeti Boys kupoteza fainali ya AFCON U17 mbele ya Senegal.
"Asiwepo mtu yoyote wa kulaumu na kunyoosha kidole na kutafuta maneno ya kuwakebehi na kuwadhalilisha vijana hawa ambao ni mashujaa wetu, kaa kimya kalale"
Kwenye Jambo Gani GentlemanMakonda yupo sahihi 100%π
kalale gentleman πKwenye Jambo Gani Gentleman
This man is idiotKauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh.Paul Makonda baada ya timu vijana ya Serengeti Boys kupoteza fainali ya AFCON U17 mbele ya Senegal.
"Asiwepo mtu yoyote wa kulaumu na kunyoosha kidole na kutafuta maneno ya kuwakebehi na kuwadhalilisha vijana hawa ambao ni mashujaa wetu, kaa kimya kalale"
Asubuhi Yote Hii Nikalale Gentlemankalale gentleman π
kaa kimya na ukalale kimyakimya,Asubuhi Yote Hii Nikalale Gentleman
πββοΈππππππ πππππ₯πβ¨οΈπββοΈπββοΈkaa kimya na ukalale kimyakimya,
si umekesha jf gentleman?π
Yaani acha tuAsante sana Senegal πΈπ³πΈπ³πΈπ³ mmetuheshimisha.