Makonda: Asitokee mtu wa kuilaumu Serengeti Boys, kaa kimya kalale

Hahaha wanamiliki mpaka emotions za kenge siku hizi! My kauntri…
 
Kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh.Paul Makonda baada ya timu vijana ya Serengeti Boys kupoteza fainali ya AFCON U17 mbele ya Senegal.

"Asiwepo mtu yoyote wa kulaumu na kunyoosha kidole na kutafuta maneno ya kuwakebehi na kuwadhalilisha vijana hawa ambao ni mashujaa wetu, kaa kimya kalale"

Yuko wapi baada ya matokeo?
 
Rubbish 🗑 🚮
 
Wangeshinda...Lingetangazwa Bata....!!
Upuuzi Ni Mwingi Sana Bongo...
​
 
Kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh.Paul Makonda baada ya timu vijana ya Serengeti Boys kupoteza fainali ya AFCON U17 mbele ya Senegal.

"Asiwepo mtu yoyote wa kulaumu na kunyoosha kidole na kutafuta maneno ya kuwakebehi na kuwadhalilisha vijana hawa ambao ni mashujaa wetu, kaa kimya kalale"

Kibaya zaid watanzania weng mitandaoni wanashangilia Senegal kubeba kombe, sababu yao kubwa wanasema Tanzania ingebeba kombe wangesutwa mnoo 🤣 🤣 🤣 na ingekua ni ushindi kisiasa!!
 
Back
Top Bottom