Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Bora umeeleza vizuri, nadhani wangeyadress kwa mkuu wa mkoa inelweka anapotaja jina Lake lazima itie shaka
 
Watu tunapinda migongo kubeba box huyu anasema hela hiyo hiyo tena tumchangie huyo zero brain! Aka!
Huyu ni muhuni tu!

Sasa yeye Kwanini asiende Huko bandarini akaelewane na hao TRA ila anaenda kutishia kanisani?

Kila mtu akienda kuwatisha wanaotaka kununua bidhaa zinazopigwa mnada tutafika?
 
Mkuu akijibu maswali yako na mimi naahidi kutoa milioni 100
 
Huyu ni muhuni tu!

Sasa yeye Kwanini asiende Huko bandarini akaelewane na hao TRA ila anaenda kutishia kanisani?

Kila mtu akienda kuwatisha wanaotaka kununua bidhaa zinazopigwa mnada tutafika?

Huwa najiuliza hao wachungaji nao kama wana njaa vile na wana muda mchafu wa kusikiliza hilo jambazi liuaji lisilotubu, msikitini hawana huo ujinga walichambwa once wamerudi kwenye lane.
 
Flash Back
====================

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…