SawaUhakika wanao wao wahusika Mkuu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] Mkuu katika sakata zima la hayo makontena umefafanua vizuri sana kama upo darasani ukifundisha, nadhani wewe ni mwalimu kitaaluma.Ni kitu cha kushangaza kuona uwepo wa taarifa ya familia moja yaani watoto wa baba mmoja kugombana hadharani kwa vitu vidogo ambavyo vinaweza kumalizwa aidha na wakubwa zao kiumri au wazazi wao, hapa namaanisha baba au mama ndani ya familia.
Ugomvi unao dharirisha familia, ugomvi unao ruhusu majirani kuwasema vibaya,
unaonesha hakuna mawasiliano mazuri ndani ya familia moja.
Kwanini haya yanatokea, ni uoga, kumuogopa baba yao au ni misimamo tu.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Makonda aliomba msaada kutoka Kwa watanzania wanaoishi marekani thamani pamoja na vifaa vya mashuleni, vifaa hivyo vimekuja lakini vimekwama bandarini Kwa sababu ya kodi, waziri wa fedha pamoja na mamlaka ya mapato wanao shughurika na kodi wametoa Kauli yao kwamba vifaa hivyo vimekuja lazima vilipiwe kodi na Kama sivyo vitapigwa Mnada Kama sheria inavyotaka.
TATIZO NINI?
vifaa hivyo ingawa ni vifaa kwa ajili ya mashuleni, lakini havikuja kwa Jina la wizara husika, ila vifaa hivyo vimekuja kwa jina la Paul Makonda, hii inamaana kwamba ni vifaa vyake yeye mwenyewe anataka atoe msaada yeye mwenyewe au labda kwa niaba ya hao rafiki zake wa ughaibuni, sasa kwa utaratibu wa sheria za kodi kuna vitu ambavyo vinamsamaha lakini Mkuu wa Mkoa hana msamaha wa kodi kwa vitu vyake anavyoagiza au kupewa toka nje ya nchi labda kwa maelekezo toka kwa mwenye madaraka makubwa kuliko yoyote ndani ya nchi.
KIPI KIFANYIKE!
Mkuu wa Mkoa aidha alipe kodi, au vile vifaa vikiwa palepale bandarini aandike barua kwa waziri wa fedha kupitia mamlaka ya mapato, akivitoa vitu hivyo kwa wizara husika, wizara ya elimu, akielezea ujio wa hivyo vitu hapa nchini kwa lengo la kutokomeza mazingira magumu mashuleni, sasa wizara husika ndiyo itashughurika na kodi kama kuomba isamehewe au kulipa, kwasababu bajeti ya kununua thamani mbalimbali mashuleni naamini ilikuwepo kama kuna huu unafuu wanaweza kulipa kodi.
HAIWEZEKANI.......!!!!!!!
haiwezekani husamehewe kodi kwa vitu ulivonunua au kupewa iwe unataka kutoa msaada au kugawa bure kama sheria haijatoa maelekezo tofauti haiwezekani ata umwambie prezo hiyo sahau, sio kwa jina lako, waziri na mamlaka ya mapato wako sahihi.
SWALI LA KUJIULIZA....?
hivi kweli mmeshindwa kuwasiliana kiofisi na kuyamaliza kiofisi hadi mnaongea kwenye madhabaho ya kanisa, kwenye mitandao ya kijamii?
Mmeshindwa kulifanya hili jambo kuwa ni la ndani kwa kupeana maelekezo kupitia vi- memo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wamesamehe Makinikia,hili la makontena ya PmK halishindikaniBusara inayotumika kusamehe wakwepa kodi ,itumike pia kwenye makontena haya ili walimu wasiendelee kukaa chini na kukalia viti vichafu.
Kama tatizo ni sheria hata mikutano ya vyama vya siasa ipo kikatiba lakini imepigwa marufuku na watu wameelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo sio hoja kubwa ya kushindwa kumuelewa Makonda, ye ndo aliomba kwawadau na wakampa huenda tatizo ni jina tu hivyo isiwe sababu ya kupigwa mnada. Dar inashika mkia 4m II na IV na lawama anapata Makonda sio Mpango wala Magu kama sio Ndalich. shule za Dsm zina changamonto nyingi ruzuku HAITOSHI.Mkuu, sithani kwa kweli TRA hawajui wanachokifanya, aidha, sina hakika kama TRA hawajajiridhisha kuhusu huo mzigo. Hata hivyo, ni kwa nini hakuingizwa kwa jina la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam au Idara ya Elimu, Mkoa wa Dar es Salaam. Ninachofahamu ni kuwa kuna tofauti kati ya Paul Makonda na Mkuu wa Dar es Salaam. Paul Makonda ni mtu ilhali Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni Taasisi. Mzigo kwa ajili ya Paul Makonda ni lazima uwe cleared na Paul Makonda lakini Mzigo wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam utakuwa cleared na Afisa Ugavi wa Mkoa.
KAHOTELI kake ka ujanjaujanja anakojenga kwa usanii hakana vitandaKama ilikuwa vifaa vya shule mbona Wizara ya Elimu haikuhusishwa
Acheni kutetea uovu
bashite anacheza michezo michafu mingi tu.Wakati umefika wa kuwekewa speed governor
Enough is enough!
Yupo sahihi kumu-attack kiongozi mwenzake wa umma hadharani namna hiyo?Kwa hili Dr.Mpango na Wasaidizi wake wapo Sahihi,alafu mbona zile Samani Ukizichungulia kwenye lile kontena ni kama za Saint ..., Shule ya msingi Gongolamboto 'B' au Shule ya Msingi N'zasa pale Mbagara hata siku tatu hazikai, kiti cha laki 6 mjini, labda Bunge Primary School au Muhimbili P/School
tatizo haka kabashite kanajifanya kajuaji sana na haya yote yanatokea ni kwa ajili ya FA FA FA FA.... kangetumia lile jina la kuzaliwa yasingemkuta yote haya.. ila wacha kaumbuke. na sooon namuona sizonje anampumulia muda wowote kadi ya msimbazi itamshukia. stei tyuni!!Utaratibu ni kitu kizuri ni afadhali angeshirikisha mamlaka husika yasingetokea haya
zipo taarifa za chini chini kwamba Mle kwenye makontena kuna hadi vitanda , ni ofisi gani ya mwalimu inayokuwa na kitanda ? ikumbukwe kwamba bilionea makonda ana hotel Mwanza , kuna taarifa kwamba nusu ya mzigo unapelekwa hotelini kwake .Mkiendekezi hii tabia, ipo siku mtu ataingiza mizigo yake kwa style hii ambayo kwanza hakuna mwenye uhakika kama vifaa hivyo vyote kweli vinawafia walengwa au ni janja tu.
Na kwa jinsi jambo hili linavyokwenda mpaka sasa, ni dhahiri unahitajika uchunguzi wajulikane ni kina nani walituma vifaa hivyo na shule gani hasa zilizolengwa kupewa hiyo misaada.
Hili jambo lina ukakasi unaohitaji uchunguzi maana huenda si kila kifaa kitaenda kutolewa kama msaada.
Na nikwambie tu, vifaa hivyo vingekuwa vimeingizwa na mtu kutoka upinzani, vingeshapigwa mnada siku nyingi tena huyo Makonda angeweza hata kuingilia viuzwe haraka japo kisheria hahusiki.
Tena namshauri waziri Mpango awe makini na kama kuna mtu atamshinikiza atoe msamaha,basi ahakikishe mtu huyo anatoa agizo kwa njia ya maandishi vinginevyo ajiuzulu kwani ipo siku anaweza kuja kujikuta anawajibika kwa matumizi mabaya ya madaraka na kuikosesha serikali mapato.
Wanasiasa sio watu hawachelewi kukugeuka.
Tukumbuke sheria tunatunga wenyewe na kuzipitisha kwa mbwembwe.
Swali: Iweje leo tuzione chungu?
Tunavuna tulichopanda.
Kwanza kwa mlio walimu mtanielewa ninaposema waziri kakurupuka wala hazijui changamoto za elimu
ukisikiliza kwa umakini kwenye hotuba yake ya juzi utagundua kabisa aelewi anachokiongea...
Anaongelea maswala ya elimu bure kitu ambacho ni nje kabisa ya mada ya makontena
swala hapa ni vifaa kwa ajiri ya kusaidia elimu ya dsm ambayo ina changamoto nyingi ikiwa na mrundikano wa wanafunzi na mambo kibao
Makonda inawezekana kuna sehemu alikosea katika mchakato huo lakini serikali walitakiwa kuwa wajanja wangeruhusu kwanza vitu viingie ndio waanze kuvimonitor wapate ushahidi wa kutosha ndio waje kumtuhumu.
matokeo yake wananchi nao wameyabeba na kusahau watoto wao ndio wanakaa chini milele
mimi niko na ushahidi kabisa nilienda shule moja na taasisi fulani kutoa msaada wa computer lakini unakuta walimu stafu viti tu vya kukalia haviwatoshi hii ni aibu kama mwalimu hana kiti stafu mwanafunzi je darasani itakuwaje?
tukiweka siasa pembeni Makonda yupo sahihi kabisa na ana nia njema ingawa anaweza kuwa kafanya makosa kutumia jina lake kwa ushauri mbovu wa watendaji waliopo chini yake lakini naamini tatizo letu la elimu ni kubwa mno kuliko jina la makonda kuwa kwenye makontenana hili swala tunalibabe kishabiki sana kama kawaida yetu...
kwamba mimi ni chadema Gambo akifiwa na mzazi wake nashangilia, mimi ni ccm Sugu akipata msiba nashangilia upuuzi mtupu.
Hivi waziri anavipiga mnada vitu vya shule za dsm watu tunashangilia leo halafu kesho jangwani secondary inakuwa ya mwisho tunaanza kumponda makonda ...
Hivi vitu vikinunuliwa na wafanya biashara sisi wananchi wa kawaida tutafaidika vipi direct kama ambavyo tungeviona kwenye shule zetu? namimi naongeza na alaaniwe kabisa atakae vinunua.
"Form four wanakaribia pia kuanza mtihani msisahau kuleta mrejesho hapa wa shule za umma"

Kuna jambo nyuma ya pazia linaendelea na si hivi hivi tu.zipo taarifa za chini chini kwamba Mle kwenye makontena kuna hadi vitanda , ni ofisi gani ya mwalimu inayokuwa na kitanda ? ikumbukwe kwamba bilionea makonda ana hotel Mwanza , kuna taarifa kwamba nusu ya mzigo unapelekwa hotelini kwake .
Dr Mpango kastuliwa na wadau .
najua kila kitu mkuu , nataka nione huyu Mpango ataishia wapi .Kuna jambo nyuma ya pazia linaendelea na si hivi hivi tu.
Makonda inawezekana kuna sehemu alikosea katika mchakato huo lakini serikali walitakiwa kuwa wajanja wangeruhusu kwanza vitu viingie ndio waanze kuvimonitor wapate ushahidi wa kutosha ndio waje kumtuhumu."
Sidhan kama ukwepaji kodi ni mambo ya ndani ya nyumbaNi kitu cha kushangaza kuona uwepo wa taarifa ya familia moja yaani watoto wa baba mmoja kugombana hadharani kwa vitu vidogo ambavyo vinaweza kumalizwa aidha na wakubwa zao kiumri au wazazi wao, hapa namaanisha baba au mama ndani ya familia.