Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Serikali ina sheria na utaratibu. Kazi ya viongozi ni kufuata pia kusimamia sheria, vifaa kwa ajili ya serikali hiyo hiyo simply needs a justification, shida iko kwako sasa kama hujaelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app


Katika hali kama hiyo, na sheria za aina hiyo it is better to live in a lawlessness, that all, what good are the laws and regulations which hinders development ? ?.

The laws are for developments, and we are not robots, we are human beings with intelligence and wisdom, they need to sit down and settle the dispute rationally, that is the distinctive feature between human beings and animals.

"Wisdom is better than law"
 
Sheria ni muhimu kuliko hivyo vifaa mkuu....

Hasa mtu ukiwa na kiburi, jeuri, sifa na dharau mbele ya mamlaka.......!

Tueshimu sheria tukiacha vitu kama hivi kesho yatakuja makubwa zaidi ya hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaviuza alafu tuone hiyo laana yenu mnayotutishia itamshika nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuandika jina lake kashauriwa [emoji849][emoji23] kweli inaingia akilini ashauriwe na nani ujinga huwo!!! Iyo ni akili yake mwenyewe sbb ana mambo yake mengine kwenye hizo contena?! Why ujiulizi contena zilikua36 now 20 hizo 16 zimechukuliwa na nani?! Zimeenda wp?!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Really? '' masikini walimu wetu''

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wewe haujiulizi kwanini kwenye mambo mengine uliyoyataja amepata ushirikiano na serikali isipokuwa kwenye hili la makontena?
 
Mbona unatumia/mnatumia/mnatumika kuhalisha huruma kuwa sheria ama sheria kwa kutumia huruma !? Hii ni nje ya utaratibu wa sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…