Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Kwanini aliyakataa mwanzoni mwa hili sakata?

Huoni kama kuna uhuni kwenye hayo makontena?

Jamaa ameshachokwa na babaake, mbeleko limechanika!

Hapa kodi tu!

- KANA -
 

Acha kutumika hizo hela mnazolipwa bora akalipe kodi.
 

Pitia hapa kwanza RC Paul Makonda ayakana makontena 20 yaliyokwama bandarini - JamiiForums
 

Yeye kasema ni kwa ajili ya shule km kunavitu vingine basi itakuwa kwa faida ya shule hizo za Dar. Serikali isimamie ugawaji wake. Mm sio shabiki wa Makonda lkn kwa hili serikali itumie busara.
 
Bashite lipa kodi unalialia nini huu muda unaohangaika kuwatuma Hawa mambumbumbu waje kukutetea huku kwenye mtandao ungeutumia kutafuta hiyo kodi. Kama kweli hivyo vifaa ni Mali ya mkoa unashindwa nini kutoa amri kila manispaa ichangie hiyo kodi ilipwe? Au umeingiza vifaa vya hoteli yako ya mwanza mzee baba?
 
Hatua ya kupiga mnada pia ni busara, tena iliyotukuka...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Musiba kasema kuwa ni makontena mia 8 (800) Duh......
Kwakifupi hata hospitali unayodai kajengewa makonda hakuomba msaada makonda bali ni jelly silaha akiwa meya wa ilala. Makonda nadhani tatizo hashirikishi wenzake kwa sababu ya umimi wake na pia akikuta wenzake wameanzisha kitu anakidaka juu kwa juu kinakua chake,. This time umimi umekuja kumtafuna. Angeliweza kuomba ushirikiano wa tamisemi na mamlaka nyingine na vifaa vingeingia kwa niaba ya serekali...

By the way kuna habari kuwa makontena 16 yalitoka sasa mimi mwalimu wa huku mbagala majimatitu mbona sijaona yakikikabidhiwa japo hayo machache yaliyotoka....something smell....
 
Mkuu sina ugomvi kabisa na Makonda na jitijada zake nazitambua sana...naomba ukamuulize mambo yafuatayo:
1: Makonda aliwasiliaana na wizara husika kabla yakuleta mzigo?
2: Je, aliomba kibali cha TRA kuwa kuna misaada ameomba?, na kwa kuwa sheria ya fedha haijaainisha wakuu wa mikoa au wilaya kuwa wana misamaha ya kodi, Makonda alifanya jitihada zipi hata za kujificha nyuma ya chama cha walimu dar kuomba msamaha huo?
3: je, vp km kila mkuu wa mkoa akiomba huo upendeleo?

Maoni yangu:
1:Makontena yakabidhiwe chama cha walimu dar kupita kwa Makonda ili ofisi mpya zipate samani
2: Makonda ajue yeye hayuko juu ya sheria na aheshimu mamlaka zingine. Yeye ni mtoto mpendwa tu wa baba lkn hana kibali cha kulala na ma....ma yake(kudharau taasisi zingine za nchi)
 
Hahhaha...mimi naona mbali kwa darubini kali
 
We Jamaa siku hizi umekuwa Mjinga!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haahhha...JF wakati mwingine ni kiwa cha burudani
 
Mimi
Hatua ya kupiga mnada pia ni busara, tena iliyotukuka...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu
 
Alivurunda kwenye ishu ya madawa kwa kutofuata sheria, sasa kaibuka na hili.

Tusiwe wepesi wa kukwepa sheria na taratibu kwa mgongo wa nia njema.

Tukumbuke sheria hazijawekwa kukomoa au kuhimiza uovu bali ni taratibu mahususi za kufuata ili kuleta/kutoa/kudumisha haki.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…