The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kama Lema angelikuwepo asingelipita......hawa wengine akisaidiwa na kuiba kura atapitaMwanasiasa mchumia tumbo Daudi Bashite ajiitaye Paul Makonda anajulikana kwa tamaa na kupenda madaraka.
Sasa ni rasmi kuwa atagombea Arusha. Kama anajiamini, kwanini asigombee kwao au hana kwao? Je Arushwa watakuwa mazezeta wamchague mtu muovu
Je akibwagwa, atarejeshwa tena kama iivyotokea baada ya kugaragazwa Kigamboni. Anazo sifa za kuchaguliwa? Arusha msituangushe Je Makonda aka Bashite atatoboa Arusha?
Mwanasiasa mchumia tumbo Daudi Bashite ajiitaye Paul Makonda anajulikana kwa tamaa na kupenda madaraka.
Sasa ni rasmi kuwa atagombea Arusha. Kama anajiamini, kwanini asigombee kwao au hana kwao? Je Arushwa watakuwa mazezeta wamchague mtu muovu
Je akibwagwa, atarejeshwa tena kama iivyotokea baada ya kugaragazwa Kigamboni. Anazo sifa za kuchaguliwa? Arusha msituangushe Je Makonda aka Bashite atatoboa Arusha?
Hili jamaa halifai hata kuwa balozi wa nyumba 10.Mwanasiasa mchumia tumbo Daudi Bashite ajiitaye Paul Makonda anajulikana kwa tamaa na kupenda madaraka.
Sasa ni rasmi kuwa atagombea Arusha. Kama anajiamini, kwanini asigombee kwao au hana kwao? Je Arushwa watakuwa mazezeta wamchague mtu muovu
Je akibwagwa, atarejeshwa tena kama iivyotokea baada ya kugaragazwa Kigamboni. Anazo sifa za kuchaguliwa? Arusha msituangushe Je Makonda aka Bashite atatoboa Arusha?
Bongo uhuni mwingi sana ,unaweza kwenda kwa mganga jumapili ukakuta kaenda kanisani 😂Mwanasiasa mchumia tumbo Daudi Bashite ajiitaye Paul Makonda anajulikana kwa tamaa na kupenda madaraka.
Sasa ni rasmi kuwa atagombea Arusha. Kama anajiamini, kwanini asigombee kwao au hana kwao? Je Arushwa watakuwa mazezeta wamchague mtu muovu
Je akibwagwa, atarejeshwa tena kama iivyotokea baada ya kugaragazwa Kigamboni. Anazo sifa za kuchaguliwa? Arusha msituangushe Je Makonda aka Bashite atatoboa Arusha?
Kuna uchaguzi siku hizi? Si ni kupitisha wagombea walioteliwa na rais kwa nguvu?Kama Lema angelikuwepo asingelipita......hawa wengine akisaidiwa na kuiba kura atapita
Aka waulize Batilda Bhuriani na Monaban. Siasa za Arusha tuna zijua wenyewe. Kuona ana pendwa na wale wahuni wanao jiita wadudu asi fikiri watu wote wa Arusha akili zetu ni sawa na wale wadudu. Ajiandae kisaikolojia..Mwanasiasa mchumia tumbo Daudi Bashite ajiitaye Paul Makonda anajulikana kwa tamaa na kupenda madaraka.
Sasa ni rasmi kuwa atagombea Arusha. Kama anajiamini, kwanini asigombee kwao au hana kwao? Je Arushwa watakuwa mazezeta wamchague mtu muovu
Je akibwagwa, atarejeshwa tena kama iivyotokea baada ya kugaragazwa Kigamboni. Anazo sifa za kuchaguliwa? Arusha msituangushe Je Makonda aka Bashite atatoboa Arusha?
Paul Makonda anajulikana kwa tamaa na kupenda madaraka.
Hawezi kutoboa kabisa. Ukitaka ushahidi nenda kwetu Murieti hahaha. Gambo yupo vizuri. Unajua mfumo haumtaki so namna ya kumtoa ilikuwa kumlaghai agombeeMwanasiasa mchumia tumbo Daudi Bashite ajiitaye Paul Makonda anajulikana kwa tamaa na kupenda madaraka.
Sasa ni rasmi kuwa atagombea Arusha. Kama anajiamini, kwanini asigombee kwao au hana kwao? Je Arushwa watakuwa mazezeta wamchague mtu muovu
Je akibwagwa, atarejeshwa tena kama iivyotokea baada ya kugaragazwa Kigamboni. Anazo sifa za kuchaguliwa? Arusha msituangushe Je Makonda aka Bashite atatoboa Arusha?
Tunawategemea Mkuu,wafikishie salamu wajumbe ikiwezekana waonyeshe hii comment yangu kuwa sisi wanakigamboni huwa tunatoa funzo kwa yoyote mwenye uroho madaraka.Aka waulize Batilda Bhuriani na Monaban. Siasa za Arusha tuna zijua wenyewe. Kuona ana pendwa na wale wahuni wanao jiita wadudu asi fikiri watu wote wa Arusha akili zetu ni sawa na wale wadudu. Ajiandae kisaikolojia..
Pascal Mayalla anasema Makonda ndio chaguo la Ccm hapo ArushaHawezi kutoboa kabisa. Ukitaka ushahidi nenda kwetu Murieti hahaha. Gambo yupo vizuri. Unajua mfumo haumtaki so namna ya kumtoa ilikuwa kumlaghai agombee
Hilo ni game tu la kumtoa kwenye game. Gambo ana mizizi balaaPascal Mayalla anasema Makonda ndio chaguo la Ccm hapo Arusha
Ni yale yale ya Kigamboni yatajirudiaMwanasiasa mchumia tumbo Daudi Bashite ajiitaye Paul Makonda anajulikana kwa tamaa na kupenda madaraka.