PreGE2025 Makonda atatoboa Arusha au ni yale yale ya Kigamboni tena?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Huyo hata akikosa anarudishwa kwenye mfumo ,once a system always a system.

Le Grande Mopao Super Bilionea kwa Fasi ya Dwasi Kolomoje.
 
Hawezi kutoboa kabisa. Ukitaka ushahidi nenda kwetu Murieti hahaha. Gambo yupo vizuri. Unajua mfumo haumtaki so namna ya kumtoa ilikuwa kumlaghai agombee
Gambo akaze kweri kweri

Ova
 
Sahvi anapita,kwani kuna mwana ccm huko wa kumpinga
Wapinzani wenyewe akataochuana nao ni wepesi
Wajumbe wa ndani inavyoelekea anawaamudu
Gambo ndiyo hivyo kama analetewa zengwe

Ova
Gambo ana nguvu sana Chuga ni vile wanandishi wapo upande wa mkuu tupo hapa mkuu mimi mwenyewe mwanzo nilijua jamaa amechukua kiti nilipofatilia vizuri nikajua wahuni wanachukua rupia tu Gambo alijijenga sana.
 
Gambo ana nguvu sana Chuga ni vile wanandishi wapo upande wa mkuu tupo hapa mkuu mimi mwenyewe mwanzo nilijua jamaa amechukua kiti nilipofatilia vizuri nikajua wahuni wanachukua rupia tu Gambo alijijenga sana.
Kwa hiyo ngoma itakuwa nzito
Kumbe naona makonda anajiona
Kama ashanyongonyesha gambo

Ova
 
Kama TAL amrshinda Uenyekiti, hata Lema huenda angeshindwa kwenye kura za maoni ndani ya chama chake
Kama Lema angelikuwepo asingelipita......hawa wengine akisaidiwa na kuiba kura atapita
 
Makonda angelikuwa mwanasiasa mchumia Tumbo usingelipoteza muda wako na vocha yako kumzungumzia, bali ungelimzungumzia babaako au mamaako asiye mchumia tumbo!
 
Kwa hiyo ngoma itakuwa nzito
Kumbe naona makonda anajiona
Kama ashanyongonyesha gambo

Ova
Ngoma nzito sana hapo labda afanye fitna Gambo akatwe huko mbele arudishwe yeye ila kwa Arusha kazi ni ngumu sana..
 
Je akibwagwa, atarejeshwa tena kama iivyotokea baada ya kugaragazwa Kigamboni. Anazo sifa za kuchaguliwa? Arusha msituangushe Je Makonda aka Bashite atatoboa Arusha?
Uelekeo wa Bashite Daudi Albert almaarufu km DAB ni Kawe sio Arusha Gwajiboi wanampiga Chini wanamuweka DAB
 
Mnazungumzia uchaguzi au uchafuzi...

Hakuna uchaguzi bila Reforms...
 
Arusha sio haina ulofa hatumtaki badhite hata gambo hatakiwui ccm leteni mgombea mwingine......yaani wageni wahuni ndio watuwakilishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…