PreGE2025 Makonda atatoboa Arusha au ni yale yale ya Kigamboni tena?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
walijivunga kuwa naye kwa kuwa waliletewa, sasa tusubiri ujio wake mpya kivingine tuone watampapatikia. sometimes, unakula kinachopatikana, na sio unachokihitaji.
 
Ni AIBU kwa mtu mwenye rekodi yenye mashaka juu ya Elimu yake na historia ya kudhulumu haki ya watu KUISHI kusogelea nafasi cha Ubunge..AIBU
 
CCM tutamkabidhi Arusha kama zawadi baada ya kukamilisha iazi tuliyomtuma.
 
Arusha hana chake akagombee kolomije
 
Safarii hii anatoboa, uhakika kabisaa. Lol
 
Makonda alitakiwa akagombee Misungwi kwao au Kwimba sio Arusha.

Desturi yake ya kutumia fursa ya nafasi au vyeo kujimilikisha mali na ukwasi wa kutisha hauwezi kumpeleka mbali. Gia aliyotumia Arusha ni lugha aliyokuwa anatumia JPM kwa wananchi wa chini ndio maana alionekana kama anawatetea kumbe ndani moyoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…